Hii njia ya Kenya, Uganda, Rwanda na mataifa mengine hasa ya Africa kupambana na Corona inachekesha

Hii njia ya Kenya, Uganda, Rwanda na mataifa mengine hasa ya Africa kupambana na Corona inachekesha

Ndugu, hao jamaa hata wakikaa miezi sita bila kufanya kazi hawataangamia kwa njaa,
Hapo Kenya kifo kimoja tu mnataka kukaa ndani, Siku mbili tu tayari mnatembeza bakuli, mnaombaomba hovyo, bila corona huwa mnakufa njaa pamoja na mihangaiko yenu, sasa mkikaa hata wiki tu si mtateketea wote ?


Sent using Jamii Forums mobile app
hichi ndo hawawezi elewa halafu sasa hii nchi yao uchumi unaotegemea luxury perishable goods kama tea, flowers and Khat! Who uses those stuffs at times like this? Believe me a gold bar will not rot and price will remain the same even after this pandemic!

But oho God... those cut flowers r loooong gone! Tea is rotting in Mombasa warehouse! While those Somalis in Kismayo can't even chew khat! But believe me these same people will eat Unga posho and rice even during this trying times! In the name of protectionism, this same Kunyaland had banned mollases import from Tanzania and Uganda but believe me coronavirus made them lift the ban as ethanol (a disinfectant) comes from mollases!

The same economic mayhem cab be said over the Chinese loan on SGR that is due! How about KQ debt from Eqyptian Afrexim Bank?

Tea auction postponed as key export earners continue to plunge

Kenyan flower industry expects to resume cargo flights to China - Xinhua | English.news.cn
 
Sasa mzee, Sote tunatambua misuli ya US kwenye uchumi, ila in a short time ameamua watu wafanye kazi, meaning ameona hali utakuwa mbaya,
Sasa nyie makapuku jamani mnakaa ndani kisa kifo kimoja, seriously?? si njaa itawaangamiza taifa taifa lote? Yaani bila ya corona na mkipiga mishe zenu za kuhangaika bado njaa inawakamua kwelikweli, je mkikaa ndani unadhani hali itakuwaje? Unadhani kuna IQ kweli hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana shida, nchi za UAE, China, Uturuki na Tanzania zinaendelea kuwapa food donations

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia akili kama unazo. Watu waendelee kufanya kazi, Kenya ni Taifa fukara, Siku mbili tu mnatmbeza Bakuli na mmeanza Kulilia china iwasaidie kuwasamehe madeni (looks funny though [emoji3])
Watu wachukue Tahadhali zote na wafanye kazi,
99% ya wakenya ni Mafukara wanategemea kipato cha kula siku hiyohiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyie hapo kwanza wazembe, hivyo hata kazi zenyewe huwa hamziwezi nashangaa kuona mkijifanya wenye kuhamasisha wengine wachape kazi, kauchumi kenu ka LDC bado kanategemea misaada ukizingatia bajeti yenu ya taifa hutegemea misaada sana, ombeni hiki kitu kisiwatese sana wale mabwana zenu ambao huwapa misaada maana mtateseka kwenye umaskini.
Sisi tupo kwenye uchumi wa kati, hivyo jeuri ya kupumzika kwa muda tunayo, nyie nawahurumia sana na kuomba dawa ipatikane upesi kabla hamjaangukiwa na hiki kitu, maana mpo kwenye level moja na Burundi wale ambao ukiwauliza leo wanasema hawana Corona kisa hawana vifaa vya kupima.
 
Corona noma imagine this ordely manner should have been a daily procedure!



 
Meanwhile Kikuyu greedy is all over on their so called billionaires!

 
Kufungia watu ndani sio suluhu

Haya Marekani naona amechukua uamuzi wa Magufuli, go to work but abide closely with precautions

Kuna vinchi vingine tayari uchumi wao upo ICU, lazima viende na hii Corona View attachment 1399779


Marekani sahii inaongoza kwa kua na kesi nyingi zaidi, WHO wameshasema USA inaonyesha dalili ya kuwa the new epicenter baada ya Europe

1585304234292.png
 
As we speak Kati ta Ldc na kipato cha kati nani katembeza bakuli na kulilia misaada ya wachina?
Bila Corona mambo huwa hivi, na sasa mnataka kuacha kufanya kazi na kukaa ndani, shauri yenu.
Nyie hapo kwanza wazembe, hivyo hata kazi zenyewe huwa hamziwezi nashangaa kuona mkijifanya wenye kuhamasisha wengine wachape kazi, kauchumi kenu ka LDC bado kanategemea misaada ukizingatia bajeti yenu ya taifa hutegemea misaada sana, ombeni hiki kitu kisiwatese sana wale mabwana zenu ambao huwapa misaada maana mtateseka kwenye umaskini.
Sisi tupo kwenye uchumi wa kati, hivyo jeuri ya kupumzika kwa muda tunayo, nyie nawahurumia sana na kuomba dawa ipatikane upesi kabla hamjaangukiwa na hiki kitu, maana mpo kwenye level moja na Burundi wale ambao ukiwauliza leo wanasema hawana Corona kisa hawana vifaa vya kupima.
IMG_7024.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akina rais Trump si ndio huwa mnawaita mabeberu ambao huwa wanawaonea? Kama umesoma tweet ya rais Trump kisha ukadhani kwamba anasema biashara ziendelee kama kawa. Eti na kwamba ibada makanisani na misikitini zikubaliwe tena, boda zifunguliwe na safari za ndege zianze tena. Basi kiingereza kitakuwa kinakutesa zaidi ya nilivodhania.

The coronavirus is now the American virus

As deaths and infections mount, our historic failure to stop the outbreak will become a dark lesson
By T.C. Sottek Mar 26, 2020, 6:07pm EDT
Photo by Tasos Katopodis/Getty Images
The United States now has the highest number of coronavirus infections of any nation on the planet, The New York Times reports. Johns Hopkins’ tracker agrees. We now know for sure that our country’s response to the pandemic is a spectacular failure that has been exacerbated by an incompetent president who spent years sabotaging the government’s ability to respond to the current crisis.
The World Health Organization may soon declare that the US is the new epicenter of the coronavirus pandemic. This outcome was never predetermined; even a Texas-based grocery chain outsmarted the US government with its own preparations for the disaster by following the obvious warning signs.
As of March 26th, more than 1,000 people have died in the US, and the spread of the virus continues to accelerate across the country.

https://twitter.com/NateSilver538/status/1242961154793750528


Governors faced with mounting infections and deaths are begging for help, especially in New York, where cases are expected to overwhelm hospitals within days. Meanwhile, President Trump has suggested
the country ought to get back to work by Easter, the governor of Mississippi is overturning social restrictions by local officials, and the lieutenant governor of Texas suggests our grandparents ought to die to restart the economy. America has failed to mount a coordinated and decisive response to save itself.

We don’t need to know how bad it’s going to get to see America’s unique failure to act. Future generations can look to the history we’ve already made as a warning about what not to do when faced with an outbreak.

President Trump once said that when he was elected we would win so much that we’d be sick of winning. As America leads the world in infections, we’re not sick of winning — we’re sick from it.

The coronavirus is now the American virus
 
As we speak Kati ta Ldc na kipato cha kati nani katembeza bakuli na kulilia misaada ya wachina?
Bila Corona mambo huwa hivi, na sasa mnataka kuacha kufanya kazi na kukaa ndani, shauri yenu.
View attachment 1400906

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa kwa sasa muwazuie wakae huko kwenu, mvumilie atleast hizi siku ziishe, tumefunga mipaka, halafu mumefungiwa kote hata Uganda hamuendi maana huko ndiko mlikua mnatumia kupenya kuja Kenya...

 
Marekani anawapa raia wake dolla 3000 ya kujikimu kwa familia ya watu wanne. Wewe unapewa nni na serikali yenu ?
We jamaa acha uongo. Wanapewa $1200 na si wote. Kuna watu hawatapata kama hawana vigezo.

Kwa mfano:
1. Wale ambao hawalipi kodi hawatapata kitu.

2. Yeyote anayepata USD 75,000 kwa mwaka hatapata pia.

Hivyo zitakuwa zinatolewa kwa vigezo.


God save us
 
Geza Ulole, sasa hiyo article si ndio ushahidi kwamba walichelewa kuanzisha 'lockdown' na 'restrictions' za usafiri kule US? Au unamaanisha kwamba wakirudi kazi kama kawaida ndio kasi ya kusambaa kwa kirusi hicho itapungua? I swear zile pumba ambazo mnatupia humu, tena kwa sababu za kipuuzi sana kama siasa, zinatamausha kweli na kutia aibu. Ila tunawaelewa tu, sio kupenda kwenu.
1946818_tapatalk_1543672404428.jpeg
 
Trump anatetea muhula wa pili. Anaogopa uchumi ukiyumba propaganda ameimarisha uchumi wa marekani zitakuwa haziaminiki tena. Uchaguzi muhimu kuliko afya za wamarekani.
Naona anaonekana kuchemka kwa hili.
Inaonekana uchumi unaweza kuanguka kwa kiasi kikubwa haijawahi tokea katika historia ya marekani

God save us
 
Trump anatetea muhula wa pili. Anaogopa uchumi ukiyumba propaganda ameimarisha uchumi wa marekani zitakuwa haziaminiki tena. Uchaguzi muhimu kuliko afya za wamarekani.
Naona anaonekana kuchemka kwa hili.
Inaonekana uchumi unaweza kuanguka kwa kiasi kikubwa haijawahi tokea katika historia ya marekani

God save us
 
Back
Top Bottom