Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichokijua ni kwamba kinjikitile alikuwa genius na alifanikiwa 100℅ katika mapambano dhidi ya majeshi yenye silaha bora kabisa.. remember,aliwafanya watu wake wapambane bila kuzingatia udhaifu wao,nasi chini ya jiwe tutashinda tu .. keep watchingKijitikile ngwale 2 reloading 😅....Yani this people never learn.
Itakuwa vile virus havifanyi kazi wakati wa mchana 😂😂😂Kenyatta ni mpumbavu,haelewi anafanya nini,ameshachanganyikiwa. .kuna maana gani kufungia watu usiku,huku mchana wakichangamana kama kawa. .. sasa usiku na mchana,ni muda upi watu huchangamana kwa kiasi kikubwa???.. sijawahi kuona mtu mpumbavu kama kenyatta
Lifestyle yetu sisi waafrika ni tofauti sana na wazungu...nyie kenya hamna utofauti na mataifa mengine ya afrika,hilo ulielewaJameni tuombe wazungu wagundue dawa mapema maana miafrika kwa jeuri tutakufa mpaka tufutike duniani.
Hawa wanaobeza, ipo siku watakosa hata hizo hela wanazopewa na CCM za kushinda mitandaoni.
Kenya wanapiga watu bakora.
Yani ni vichekesho.
Corona ilishaingia Africa wiki ya kwanza tu baada ya mlipuko kule china.
Kukuumbua ndio useme tutazoea majini. Acha kukimbia kupost kila kitu unacho sikiaSerikali yenu inawapa elfu ngapi ?
Halafu kuzoea zoea watu mwishoe mtazoea majini
wapi uliponiumbua ?Kukuumbua ndio useme tutazoea majini. Acha kukimbia kupost kila kitu unacho sikia
Tatizo lenu huwa mnapenda kuhamisha hojaMaCCM huu sio muda wa kubeza juhudi za majirani zenu, ni wakati wa kuishauri nchi yenu ichukue tahadhari.
Ona mwenzenu kaanzisha uzi wa yale yanatendeka Kenya
CORONA VIRUS: Kenyatta ndio Rais pekee aliyejipanga kuwanusuru wananchi wake kiuchumi - JamiiForums
-Mshahara wa chini ya shilingi Laki tano za kitanzania hautakatwa kodi kabisa.
-PAYE Kupunguzwa kwa 5% (kutoka 30% mpaka 25%)
-Corporation tax kupunguzwa kwa 5%
-Turnover tax kupunguzwa kwa 2%
-Jamii isiyojiweza imetengewa zaidi ya bilioni 200 za kitanzania.
-Kusitishwa kwa muda riba katika mikopo ya biashara zitakazo dumaa au kufirisika katika kipindi hichi cha mlipuko wa Corona.
-VAT Kupunguzwa kwa 2% (Kutoka 16% mpaka 14%)
-Kuidhinisha mara moja zaidi ya shilingi bilioni 20 za kitanzania kutoka mfuko wa Afya kwenda kupambana na Corona.
-Kupunguza mishahara ya maafisa wa juu wa serikali kwa karibu 80%.
-Watumishi wenye umri mkubwa au wenye afya dhaifu kupewa likizo huku wakiendelea kula mshahara kama kawaida wakiwa majumbani mwao.
Nimefungua uzi fasta nikidhani nitasoma uchanganuzi wa maana au labda utafiti kutoka kwa wataalamu na maagizo mapya kutoka kwa WHO. Kumbe ni sifia sifia tu za Mr. Stone?![]()
MaCCM huu sio muda wa kubeza juhudi za majirani zenu, ni wakati wa kuishauri nchi yenu ichukue tahadhari.
Ona mwenzenu kaanzisha uzi wa yale yanatendeka Kenya
CORONA VIRUS: Kenyatta ndio Rais pekee aliyejipanga kuwanusuru wananchi wake kiuchumi - JamiiForums
-Mshahara wa chini ya shilingi Laki tano za kitanzania hautakatwa kodi kabisa.
-PAYE Kupunguzwa kwa 5% (kutoka 30% mpaka 25%)
-Corporation tax kupunguzwa kwa 5%
-Turnover tax kupunguzwa kwa 2%
-Jamii isiyojiweza imetengewa zaidi ya bilioni 200 za kitanzania.
-Kusitishwa kwa muda riba katika mikopo ya biashara zitakazo dumaa au kufirisika katika kipindi hichi cha mlipuko wa Corona.
-VAT Kupunguzwa kwa 2% (Kutoka 16% mpaka 14%)
-Kuidhinisha mara moja zaidi ya shilingi bilioni 20 za kitanzania kutoka mfuko wa Afya kwenda kupambana na Corona.
-Kupunguza mishahara ya maafisa wa juu wa serikali kwa karibu 80%.
-Watumishi wenye umri mkubwa au wenye afya dhaifu kupewa likizo huku wakiendelea kula mshahara kama kawaida wakiwa majumbani mwao.
Marekani si nchi, ni dubwana.Kufungia watu ndani sio suluhu
Haya Marekani naona amechukua uamuzi wa Magufuli, go to work but abide closely with precautions
Kuna vinchi vingine tayari uchumi wao upo ICU, lazima viende na hii Corona View attachment 1399779
Kupenya? Kwani boda yenu na Ug ipo wazi? Kuna chocho kibao za kuingilia Kenya from Tz kuliko Ug. Sasa mwehu atakaekwenda Ug kuzamia Kenya atakuwa ana akili kama zakoHawa kwa sasa muwazuie wakae huko kwenu, mvumilie atleast hizi siku ziishe, tumefunga mipaka, halafu mumefungiwa kote hata Uganda hamuendi maana huko ndiko mlikua mnatumia kupenya kuja Kenya...
Kweli kabisa ni lidubwana na ni idea moja ilofanikiwa sana.Marekani si nchi, ni dubwana.
Ukiongelea nchi taja nchi tu. Marekani ni idea.
Sent from my typewriter using Tapatalk
naomba uelezee kidogo umemaanisha nini kaka.Marekani si nchi, ni dubwana.
Ukiongelea nchi taja nchi tu. Marekani ni idea.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Marekani ni nchi 50 zimeungana pamoja (states) kila state ina gavana wake na inajimwambafy kivyake. Kila state ina serikali yake, sheria zake, mahakama zake, bunge lake. Halafu kuna serikali, mahakama, bunge la states zote, kama shirikisho.
back thenManyangau ata msiseme kitu ,Wapee tu time praise team watakuja jua seriousness ya hii kitu
Hii thread imewaendea south, matusi mingi walionywa sasa wanadeal na consequences, typical fools,back then
now what?
Kufungia watu ndani sio suluhu
Haya Marekani naona amechukua uamuzi wa Magufuli, go to work but abide closely with precautions
Kuna vinchi vingine tayari uchumi wao upo ICU, lazima viende na hii Corona View attachment 1399779