Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Acha tamaa mwangu yo
Amenikanya Mama alienizaa
Jichuuunge yeye amesema yeye yeyee
Tukitafuta pesa eti tutaigaaa tabia mbaya
Hakuna aliezaliwa ni mwizi
Saviè Kandoro Papa
Hakuna aliezaliwa ni kahaba
Issa Mambombe Tip-fire
Tabia hizo mbaya twaziiga tukitafutaa Pesa
Binadamu hukubari afanye jambo lisilo halali juu ya Pesa
Yuda alimuuuuza Bwana Yesu
Kaine alimuua Abeli
Vijana wanawapenda Sugar mummies ukiwauliza eti pia wanatafutaaaa
Acha tamaa mwanangu yo
Amenikanya mama alienizaa jichuuunge yeye amesema nami yeye yeyee
Tukitaafuta pesa eti tutaiga tabia mbaya
Hakuna aliezaliwa ni mwizi
Ya Mamba Chibi Chabene
Hakuna aliezaliwa ni Kahaba
Lily Musambuka yayaa
Tabia hizo mbaya twaziiga tukitafutaa Pesa
Binadamu hukubari afanye jambo lisilo halali juu ya Pesa
Yuda alimuuuuza Bwana Yesu
Kaine alimuua Abeli
Wasichana wanawapenda Sugar daddies ukiwauliza eti pia wanatafutaaaa
Tamaa hutushambuliaa tunapotafuta pesa
Kama Shuleni haujaenda Maisha mazuri usitamani
Martin Kasantu tajiri
Jua ile bahati yake
Wakoloni wameeenda
Amebaki mmoja tu Bisà
Sisi wote nyuma yaaake tajiri masikini
Pesa wewe tamani wengi wanazo hujui wazipata vipi
Acha tamaaa
Nionyesheni mutu yule oh tajiri na hajafanya kazi ooh
Ninavyojua mimi Papaa Peter Omaya oh
Utajiri Kenga alikua na secret km hakuna masikini yo
Kupata ama kukosa aha apangae mola
Munyonge akilia yo chozi ni km la daamu
Shida haina huruma jama
.................
View: https://www.youtube.com/watch?v=wRKJinnMBuw
FM Academia
Album: Dunia Kigeugeu
Song: Acha Tamaa