Hii Olimpiki wenye miaka 30 kwenda juu ni wa kutafuta Kwa tochi. Ina maana nishakuwa mtu mzima aisee

Wasikupe moyo mkuu,

30's ni umri ambao wengi wanaanza kupata stability ya kimaisha na kifamilia. Kwa hiyo ukimkuta mwanamichezo mwenye umri wa 30's bhasi lazma atakuwa kwenye peak yake maana ana experience ya zaidi ya miaka kumi.

Fikiria tu ulivyokuwa 16-23
Ulikuwa unamchukuliaje mtu mwenye 30+. Ukipata jibu lako bhasi huyo mwenye 30+ ndio wewe kwa sasa duniani 😁😁
 
Ukiwa na miaka 30 na ushaachieve almost kila kitu kwenye maisha sio issue hata issue ni una miaka 30+ na huna chochote cha maana aisee maumivu yake acha tuu.
 
Acha kabisa.
 

😃😃
Hii ni zaidi ya shambulio la kigaidi. Ukweli Mchungu Sana
 
Wewe cheza kwenye ile graundi ya futi 6 kwa 6 na kuogelea tandika mkeka chini, mtainjoi kuliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…