Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
😁😁😁 hiyo ndo njia mkuu
Umetisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁 hiyo ndo njia mkuu
Acha kabisa.Wasikupe moyo mkuu,
30's ni umri ambao wengi wanaanza kupata stability ya kimaisha na kifamilia. Kwa hiyo ukimkuta mwanamichezo mwenye umri wa 30's bhasi lazma atakuwa kwenye peak yake maana ana experience ya zaidi ya miaka kumi.
Fikiria tu ulivyokuwa 16-23
Ulikuwa unamchukuliaje mtu mwenye 30+. Ukipata jibu lako bhasi huyo mwenye 30+ ndio wewe kwa sasa duniani 😁😁
Wasikupe moyo mkuu,
30's ni umri ambao wengi wanaanza kupata stability ya kimaisha na kifamilia. Kwa hiyo ukimkuta mwanamichezo mwenye umri wa 30's bhasi lazma atakuwa kwenye peak yake maana ana experience ya zaidi ya miaka kumi.
Fikiria tu ulivyokuwa 16-23
Ulikuwa unamchukuliaje mtu mwenye 30+. Ukipata jibu lako bhasi huyo mwenye 30+ ndio wewe kwa sasa duniani 😁😁
Yote Maisha Mkûu.Ukiwa na miaka 30 na ushaachieve almost kila kitu kwenye maisha sio issue hata issue ni una miaka 30+ na huna chochote cha maana aisee maumivu yake acha tuu.
Ni uhalisia, 30+ ni utu uzima.. Umri wa makamo.. Sio ujana pure😃😃
Hii ni zaidi ya shambulio la kigaidi. Ukweli Mchungu Sana
Nakubaliana na wéwe KabisaNi uhalisia, 30+ ni utu uzima.. Umri wa makamo.. Sio ujana pure
Mnajipa pressure na umri bure tu. Je mkifika 50yrs kama akina sisi si mtakufa kwa mawazo?
Mnaiona mingi kwasababu hamjafika. Ukifika utajishangaa.😃😃
Miaka 50 wengi hawatatoboa
Wewe cheza kwenye ile graundi ya futi 6 kwa 6 na kuogelea tandika mkeka chini, mtainjoi kuliko.Kwema Wakuu!
Nimetulia zangu na-enjoy zangu, Kwa Raha zangu naburudika na Mashindano ya Olimpiki Paris 2024 yanayofanyika huko Ufaransa.
Nafurahi zangu lakini ghafla nagundua kuna Jambo halipo Sawa hapa. Kila Mashindano ñàona Hakuna weñye umri kama wàngu. Jàmani! Jàmani!
Nikabadili zangu channel niangalie upande Mwingine nako naona wanamichezo wengi wanamiaka 22-27.
Weñye thelasini kwenda juu ni nadra Sana.
Furaha yangu ikayeyuka.
Nimeamua kucheza zangu game tuu.
Hii inamaanisha nini?
Sisi tushaingia kwèñye uzee au vipi?
Mashindano haya yanaubaguzi. Lakini wewe tulia tuu
Nduki🏃🏃
Wewe cheza kwenye ile graundi ya futi 6 kwa 6 na kuogelea tandika mkeka chini, mtainjoi kuliko.
.😃Mnaiona mingi kwasababu hamjafika. Ukifika utajishangaa.