Hii picha ilipigwa 1910 mitaa ya Poplar East London. Wakati huo si barabara zote za London zilikua na lami

Hii picha ilipigwa 1910 mitaa ya Poplar East London. Wakati huo si barabara zote za London zilikua na lami

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1637705111665.png

Gari ya Council ilimwaga maji barabarani kupunguza vumbi. Ilikua siku za kiangazi na vijana walijipooza kwa maji.
 
Leo hii London ni kitu kingine kabisa mifumo imara ya Usafi...usafiri na Miji midogo ndani ya jiji yenye kila kitu...Usalama thabiti yaani unazama chini ya Ardhi au juu na train kutoka Terminal three West Land mpaka Shenfield umbali wa Dar chalinze kwa dakika 40 tu.....

Au London mpaka Yorkshire Masaa mawili kwa train safiiii....wakati Posta Mwenge km 20 saa 3....Kuna mambo tunaweza sema Viomgozi hamna
 
Leo hii London ni kitu kingine kabisa mifumo imara ya Usafi...usafi na miji midogo ndani ya jiji yenye kila kitu...Usalama thabiti yaani unazama chini ya Ardhi au juu na train kutoa Terminal three West Land mpaka Shenfield umbali wa Dar chalinze kwa dakika 40 tu.....

Au London Yorkshire popote muda saa 3 kwa train safiiii....wakati Posta Mwenge km 20 saa 3

hahaha [emoji1][emoji1] nacheka japo inasikitisha
 
Sisi bado tunahangaika na vyooo[emoji1787][emoji1787]
Pamoja na kubarikiwa mito na maziwa makubwa yenye ujazo mkubwa wa fresh water lakini bado tuna aza ya maji kwa matumizi salama na kuzalisha umeme wa hydro nchi nzima.
Tatizo mfumo tuliouasisi kwa hiki chama cha kijani
 
Halafu population yao ni 67 millions
Tuko sawa na tunawazidi vitu vingi kasoro uchumi wametuacha mbali sana
Wakati kila kitu tunacho

Wana supermarkets kubwa zaidi ya 4000 nchi nzima
 
China was Civilized long before Western...., Yaani wakati watu huko London wanajisaidia barabarani na mitaa michafu inanuka kinyesi na haja ndogo huko China mandhari yalikuwa safi watu wakitoa huduma ya kukusanya (kinyesi) na kwenda kukitambaza huko Mashambani kwa ajili ya Mbolea.....

Ni kwamba tu hapa katikati watu walikengeuka na sio China tu (Egypt, Sehemu za India, Iraq n.k.)
 
Leo hii London ni kitu kingine kabisa mifumo imara ya Usafi...usafi na miji midogo ndani ya jiji yenye kila kitu...Usalama thabiti yaani unazama chini ya Ardhi au juu na train kutoa Terminal three West Land mpaka Shenfield umbali wa Dar chalinze kwa dakika 40 tu.....

Au London Yorkshire popote muda saa 3 kwa train safiiii....wakati Posta Mwenge km 20 saa 3
Unafurahia hali hiyo ya London kutokana na aina ya watu wanaoishi huko.

Ikitokea watu wote wa London wakahamishiwa Dar na wa huku wakapelewa Ldn..baada ya miaka michache aliyeko London atatamani kurudi Dar.

Issue hapa sio eneo bali ni aina gani ya watu wanaoishi eneo husika.

Zimbabwe enzi hizo mji mkuu Harare ukiitwa Sulsbury(kama nimepatia), mji ulikuwa msafi kama miji mingine ya ulaya, lakini alipokabidhiwa mwafrika kila kitu kwishney.

Binadamu wote ni sawa kwa kula kunywa na kulala, lakini mengine ni tofauti kabisa...haswa ngozi nyeusi
 
Back
Top Bottom