Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili kanisa babu na bibi yangu walifunga ndoa 1910
Walutheri na Wakatoliki walielekea Lushoto, walipenda hali ya hewa, Anglicana walipenda kujenga Vuga lakini Mtemi Kimweri aliwakatalia. Muheza walipita kwa bahati tu wakielekea Malawi kutoka Lushoto, walipapenda sana na lakini wanakijiji waliwapa eneo la mwamba kuwakomoa. Matokeo yake walipasua mwamba na kutumia mawe kujengea kanisa, shule na hospitali.Sidhani kama ni kweli, Anglikan ni England, na hao ni Wajerumani, hivyo nafikiri wamekosea hilo haliwezi kuwa Kanisa la Angelikani labda Walutheri.
Magila kama kituo cha Waanglikana ilianzishwa mwaka 1868. Chanzo changu "History of Tanganyika" ya Iliffe, uk. 85.
Mrima ilimaanisha sehemu kubwa ya pwani la Tanzania ya leo, kuanzia Mto Umba (mpaka wa TZ na Kenya) hadi mto Rufiji;Mrima ni Daru Salaam ya leo
watu walikuwa hawajui lolote kuhusu Dini .....ilikuwa ni mwendo wa kuabudu mizimu ya koo.
ROHO INANIUMA SANA KWA HAKIKA MPIGA PICHA NA WOTE WANAOONEKANA KWENYE HII PICHA SIDHANI HATA MAKABURI YAO KAMA YANAJULIKANA YALIKO.
Tanganyika sio 1922?Ilikuwa Tanganyika
Duniani tunapita tuROHO INANIUMA SANA KWA HAKIKA MPIGA PICHA NA WOTE WANAOONEKANA KWENYE HII PICHA SIDHANI HATA MAKABURI YAO KAMA YANAJULIKANA YALIKO.
KWELI MKUU TUNAPITA TUENDAKO HAPAJULIKANIDuniani tunapita tu
Ni waanglican Mzee .... Ila ile shule ina hali mbaya mbaya sanaaaa aseeeSidhani kama ni kweli, Anglikan ni England, na hao ni Wajerumani, hivyo nafikiri wamekosea hilo haliwezi kuwa Kanisa la Angelikani labda Walutheri.
Sio kweli,Kanisa Rasmi lilianzia Bwagamoyo mwaka 1868
Nilishazungumzia hiliChakushangaza shule ya kwanza imeanza kwao muheza ila wapo nyuma kielimu kuliko maeneo mengine yaliyofuata kupata shule