Mnyaluhala.
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,430
- 1,785
Nyie watu wa tanga hambadiliki yaani miaka alfu bado vinyumba vyenu ni vile vile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie watu wa tanga hambadiliki yaani miaka alfu bado vinyumba vyenu ni vile vile.
Na hii corona ndio watazidi kubaki nyuma kudadeqiNyie watu wa tanga hambadiliki yaani miaka alfu bado vinyumba vyenu ni vile vile.
Mkuu sema hapo Magila lilikuwa kati ya Makanisa ya kwanza pwani ya Afrika Mashariki.
Hata kutafuta tu mazao kwa wakulima wetu tunashindwa itakuwa kutengeneza toothpick!?1843 wazungu wanatumia camera wakati Sisi huku bongo tunashindwa kutengeneza hata toothpick
Mkuu sema hapo Magila lilikuwa kati ya Makanisa ya kwanza pwani ya Afrika Mashariki.
Lakini wareno walifika mapema zaidi miak ya 1400-1500 na walianzia Zanzibar.
1500-1800 The Portuguese.
Christianity was first introduced to Zanzibar by the Portuguese. Moving up the from the south after successfully rounding the Cape of Good Hope in 1488 they staged a violent and ultimately unsuccessful bid to lay claim to the harbors, trading routes and resources of almost 2000 miles of African coastline.
Reaching Zanzibar in 1499 thePortuguese soon established a Catholic Mission and trading station in Zanzibar Town. For the next 200 years they dominated the shipping lanes of East Africa and strived to establish a string of coastal settlements. Ruins of Portuguese settlements can still be found near Fukuchani in the north and on Pemba Island. The Fortress that stands today near the harbor in Zanzibar City was built overtop of an earlier catholic chapel located there; after it was captured by Omani forces. These forces are said to have been invited to Zanzibar and Pemba by the islanders to help drive out the overbearing Portuguese.
Ref : Zanzibar Christians
Wakati ule wala Tanzania wala Tanganyika. Tanganyika ilizaliwa 1919 wakati wa ugawaji rasmi wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani, kati ya Waingereza na Wabelgiji , pia Wareno walipata kipande kidogo sana.Ilikuwa Tanganyika
Nakipata wapi?Ukisoma hiki kitabu kimeeleza vizuri; The Anglican Communion at a Crosswords, The Crises of Global Church
Hakukuwa na Tanganyika wakati huoIlikuwa Tanganyika
Acha utani na mzeee wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].mzee wangu labda tumuulize ni namna gani ma sheikh wetu wa mzizima walivyo saidia ukristo kuenea huko bara[emoji1787][emoji1787].jokesHistoria ya Ukristo Tanganyika labda tumuulize Ustadhi Mohamed Said anaweza kutusaidia.
Hata Tanganyika haikuwepo zilikuwepo milki za kifalme na koo kubwa zilizojitawala zenyewe, Tanganyika ilianzishwa na WajerumaniIlikuwa Tanganyika
Kuwa karibu na mahakama ndio kujua sheria?Chakushangaza shule ya kwanza imeanza kwao muheza ila wapo nyuma kielimu kuliko maeneo mengine yaliyofuata kupata shule
Please be careful, we re talking about Zanzibar, not the interior of East Africa, actually not even Tanga , Bagamoyo or Pangni.There are some errors in this post. Firstly, the Portuguese rounded the Southern tip of Africa i.e. the Cape of Good Hope in 1498 and not 1488 as presented here. Secondly, it is true that the Portuguese were the first to introduce Christianity in East Africa particularly along the coast after their successful conquests and plundering of coastal city states but they could not achieve any significant gains in spreading Christianity along the coast and in the interior. This can partly be attributed by Portuguese failure to integrate themselves with local populations due to their cruel nature and consequently increasing of local resistance against Portuguese invaders. In around 1650, the Portuguese were routed and driven out of East African coast by the Omanis and retired to their longtime colony of Mozambique. At this time they never achieved any significant hold in their spreading of Christianity. In fact, the spread of Christianity in East Africa occurred mainly in the 19th century through the increasing work of Christian missionaries.
Barua za mkwawa na bwana kheri/abushiri,zinaitaja tanga na nyikaHata Tanganyika haikuwepo zilikuwepo milki za kifalme na koo kubwa zilizojitawala zenyewe, Tanganyika ilianzishwa na Wajerumani
Barua za mkwawa na bwana kheri/abushiri,zinaitaja tanga na nyikaHata Tanganyika haikuwepo zilikuwepo milki za kifalme na koo kubwa zilizojitawala zenyewe, Tanganyika ilianzishwa na Wajerumani
Daah!
Hizo ni baada ya Germany kupewa katika mkutano wa Berlin 1885 akaita nchi TanganyikaBarua za mkwawa na bwana kheri/abushiri,zinaitaja tanga na nyika