Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kuvuta kwangu bangi kunaanzia wapi?
Kamoja ka wydad kamesha wachanganya tena....akili zimeyumba tayari mtani.Imebidi nicheke, Ni either una vuta bangi ya Arusha, au Shisha ya kinondoni, chukua hatua, nganga "Haki Elimu"
Hebu tafakari kwanzaImebidi nicheke, Ni either una vuta bangi ya Arusha, au Shisha ya kinondoni, chukua hatua, nganga "Haki Elimu"
Hebu tafakari kwanza
Achana na personal attack na pessimism Comments.
#YNWA
Bado watu ni watumwa licha ya kupata elimu kubwa. Wameendelea kuwa watumwa kwa watawalaMana yake n kwamba watu wamesoma lakn hawana tofaut na watu wa zaman mana mifumo yao ya utendaj kaz ni ile ile kama ya wale wa miaka 2000 iliopta licha ya kusoma lkn bado wanahtaj kusimamiwa ili kufanya ktu kile kile ambacho ambao hawajasoma walikfanya wakiwa wamesimamiwa...
Natumai mleta mada utakua umepata mwongozo..
Umeielewa nini hiyo picha? Haina cha kufikirisha, ipo "straight forward".Nimeipata katika pitapita zangu mtandaoni.View attachment 2839063
Punguza sasa mawazo na majibu hasi kwa watu.Labda akili yangu haina akili, sioni nitfakari nini
Ewaaa, ila mm sipendi watu wa humu wanavyokuita "bibi ajuza", sipendi kwa kweli.Umeielewa nini hiyo picha? Haina cha kufikirisha, ipo "straight forward".
Mimi nilichoelewa ni kuwa utumwa ulikuwepo na bado upo na unaendelea licha ya watu kuvishana vilemba vya ukoka.
Punguza sasa mawazo na majibu hasi kwa watu.
#YNWA