Hii picha imenifikirisha sana, naamini hata ww itakufanya ufikiri zaidi

Hii picha imenifikirisha sana, naamini hata ww itakufanya ufikiri zaidi

Unaona ulivyo mtu wa hovyo, I am asking u to give me insight, you think I am jocking, ulitaka nikuimbie mapambio au?
""mtu wa hovyo""
Hili neno lilikuwa na umuhimu gani?

Bwana awe nawe.

#YANGA BINGWA
#YNWA
 
Huko kuvuta kwangu bangi kunaanzia wapi?
Aisee. Pole sana. That was insentive comment. Nadhani huyo alianza kutizama picha ya profile yako kabla hajatizama picha iliyo kwenye mada.
apparently he is a...typical stereotype and clearly he is racially biased.

Ushamsoma.
 
Nishampuuza huyo jamaa

Bado watu ni watumwa licha ya kupata elimu kubwa. Wameendelea kuwa watumwa kwa watawala
Anaeitawala dunia anajulikana.

"You are either with us or you're against us".

Hao watawala wako wao wenyewe ni watumwa kama wewe.
 
Back
Top Bottom