Hii picha imenifikirisha sana, naamini hata ww itakufanya ufikiri zaidi

Imebidi nicheke, Ni either una vuta bangi ya Arusha, au Shisha ya kinondoni, chukua hatua, nganga "Haki Elimu"
Kamoja ka wydad kamesha wachanganya tena....akili zimeyumba tayari mtani.
Tafakari upya kwenye hiyo picha then uje ufute hii commment
 
Hata Mimi nipo macho toka saa sita usingizi umekata napitia pitia nyuzi
 
Mana yake n kwamba watu wamesoma lakn hawana tofaut na watu wa zaman mana mifumo yao ya utendaj kaz ni ile ile kama ya wale wa miaka 2000 iliopta licha ya kusoma lkn bado wanahtaj kusimamiwa ili kufanya ktu kile kile ambacho ambao hawajasoma walikfanya wakiwa wamesimamiwa...
Natumai mleta mada utakua umepata mwongozo..
 
Bado watu ni watumwa licha ya kupata elimu kubwa. Wameendelea kuwa watumwa kwa watawala
 
Umeielewa nini hiyo picha? Haina cha kufikirisha, ipo "straight forward".

Mimi nilichoelewa ni kuwa utumwa ulikuwepo na bado upo na unaendelea licha ya watu kuvishana vilemba vya ukoka.
Ewaaa, ila mm sipendi watu wa humu wanavyokuita "bibi ajuza", sipendi kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…