MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Huyo dogo janja unamtwisha msalaba mzito sana mkuuWakulaumiwa hapo ni huyo dogo anaekula , anashindwaje kuwafinyia wana kimtindo🤔
Hasira za Jamaa,kaona amuonyeshe mwanamke huyo kwa kuzaa ovyoovyo kwamba,Hao watoto wengine wangeinjoi menu kama huyu wa kwake!Jamaa amemtembelea mwanae ambae Mamake amezaa na wanaume watano tofauti, kamnunulia vitamu yeye peke yake huku wengine wakila kwa macho.
View attachment 3295696
Binafsi kama mwanaume/Baba naona jamaa hajafanya sahihi, ni heri angewanunulia wote au angemchukua mwanae akakae nae sehemu afanye yote anayojisikia kumfanyia mtoto kisha amrudishe kwa wenzake kuliko kuwasulubisha kwa makosa yasiokuwa yao
Ni nani wa kulaumiwa hapa?
Dogo bado kadogoo sana yeye anajionea sawa tu, Mamake dogo ndiyo wa kulaumiwa, malezi yake kwa dogo/ watoto yana mushkeli.Wakulaumiwa hapo ni huyo dogo anaekula , anashindwaje kuwafinyia wana kimtindo🤔
Dogo sio kabisa , kavunga kama sio yeye kabisaHuyo dogo janja unamtwisha msalaba mzito sana mkuu
Sifikiri kama ni sahihi kumtwisha huyo mtoto msalaba ilhali Baba yake ndo set-up ya kila kitu apoHuyo mtoto mwenyewe ndo mchoyo,aomba babake aondoke naye,endapo atamuacha hapo hayo makwenzi atakayopata,siku nyingine akiletewa atawagawia nakwambia.
ndo maana methali inasema ''asiyefunzwa na babaye,hufunzwa na ulimwengu''
Yawezekana unachosema ni kweli au sio kweli, najaribu kufikiria pengine Baba mtoto ndo kaamua iwe ivoUyo mama nae hawalei wanae kwa ushirikiano na upendo
Kuna watakaosema CCM
Hiyo picha ni sawa na matendo ya Samia wa ccm na waarabu dhidi ya watanganyika ...ndiyo maana halisi ya👉 ANA TUONA NYANI TU ...WATANGANYIKA KUMEKUWA NYANI TU MBELE YA WAJOMBA WA SAMIA NA MABASHA YA KIBEBERUKuna watakaosema CCM
Ucheze na wana ila kwenye misosi uvunge ? Mama kazingua ndio ila dogo anashindwaje kujiongeza hapo ,wakati inaonekana kabisa wana wanamtonya afaulishe🤔Dogo bado kadogoo sana yeye anajionea sawa tu, Mamake dogo ndiyo wa kulaumiwa, malezi yake kwa dogo/ watoto yana mushkeli.
Pia aliyepiga picha ni sehemu ya huyo asiye na akili.Jamaa amemtembelea mwanae ambae Mamake amezaa na wanaume watano tofauti, kamnunulia vitamu yeye peke yake huku wengine wakila kwa macho.
View attachment 3295696
Binafsi kama mwanaume/Baba naona jamaa hajafanya sahihi, ni heri angewanunulia wote au angemchukua mwanae akakae nae sehemu afanye yote anayojisikia kumfanyia mtoto kisha amrudishe kwa wenzake kuliko kuwasulubisha kwa makosa yasiokuwa yao
Ni nani wa kulaumiwa hapa?
wakati anaenda kumtembelea huyo mwanae, alijua kuna watoto wengine wa4?Jamaa amemtembelea mwanae ambae Mamake amezaa na wanaume watano tofauti, kamnunulia vitamu yeye peke yake huku wengine wakila kwa macho.
View attachment 3295696
Binafsi kama mwanaume/Baba naona jamaa hajafanya sahihi, ni heri angewanunulia wote au angemchukua mwanae akakae nae sehemu afanye yote anayojisikia kumfanyia mtoto kisha amrudishe kwa wenzake kuliko kuwasulubisha kwa makosa yasiokuwa yao
Ni nani wa kulaumiwa hapa?
ndo maana nikasema,atajifunza kutokana na makwenzi atakayopata kutoka kwa wenzake.Sifikiri kama ni sahihi kumtwisha huyo mtoto msalaba ilhali Baba yake ndo set-up ya kila kitu apo
Aliye piga picha ana akili kubwa kama zangu ...lengo ni kuwaonyesha watanganyika kuwa mama wakambo tuliye naye siyo mama ni SHETANI IBILISI ALIYE LAANIWA NA ABDUL MZAWA WA TUMBO LAKE KALAANIWAPia aliyepiga picha ni sehemu ya huyo asiye na akili.
Umejuaje?Jamaa amemtembelea mwanae ambae Mamake amezaa na wanaume watano tofauti, kamnunulia vitamu yeye peke yake huku wengine wakila kwa macho.