Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Tazameni hapo ubaoni. Ina maana mwalimu anatumia shoto kuandika? Mola atusaidie tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] Unataka kusema kwamba huyo ni shemeji yenu? Big No mkuuLengo lako hasa ni nini?
Wanatuchanganya sana aisee. Serikali ifanye juhudi iwajazie marupurupu. Mshahara hautoshi jamaniC mambo Yao tuwachiee wenyewee mkuu [emoji23]
Miraje mkuu?Mirror
Ni yeyeee[emoji23][emoji23] Unataka kusema kwamba huyo ni shemeji yenu? Big No mkuu
Itakuwa picha imepigwa kwenye kioo ndo mana mandishi yamegeukaC mambo Yao tuwachiee wenyewee mkuu [emoji23]
Editing iliyotumika hapa ni editor ame-imagine hayo maandishi yameandikwa kwenye surface ya kioo angavu (transparent mirror.) (sio hivi vya kujitizamia vinavyoakisi mwanga no))Tazameni hapo ubaoni. Ina maana mwalimu anatumia shoto kuandika? Mola atusaidie tuView attachment 2902065
kwa kumuona kwa picha tu?Hii ni bongo??if yes naombeni nimuweke ndani huyu