Hii picha imepigwa vipi? Mbona haieleweki?

Hiyo ni setting ya selfie camera tu mzee wala hakuna editing hapo..

Angalia hapo chini kwenye picha hicho kipengele kimeandikwa "save selfie as previewed"
 
Sawa sawa mkuu kumbe ipo hata kwenye camera settings...

Mimi nimeelezea manually kua alie design hiyo effect ya ku-save selfie as
Previewed au Mirror effect alifikilia namna hiyo apo niliyoelezea, ndio aka-programme hicho kipengele.

Kuna baadhi ya application/program za kueditia picha katika simu zina vipengele kadhaa, lakini moja ya hivyo vipengele ni kinaitwa mirror uki-apply tu katika picha picha inageuka (mirror image)
Kwenye tools za kuedit ni una press tu mirror effects simple.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…