The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Ghana, Angola, Zambia, Djibouti. Nk.Kwan Tanzania kwa afrika tunapitwa na nchi gani kwa maendeleo ukitoa South Africa Nigeria na nchi za kiarabu
Bei Unatajiwa Budget Ya Mradi😂Wameweka caption Gani?
Hizo nyumba uswahilini hazitakaa ziishe, ukiiulizia Bei ya kiwanja hapo lazima ukimbie
Oyaa kuwa seriously basi 🤣🤣🤣🤣🤣Ghana, Angola, Zambia, Djibouti. Nk.
Sisi hata Zambia wanatuzidi mipango miji, ustaarabu, miji iliyopangiliwa. Tanzania tuna miji iko hovyo hovyo.
Hivi kwa eneo lile la uwanja wa taifa nyumba hizi zipo upande ganiUkitembea nchi za watu kisha ukaja Tanzania ukajiuliza sisi ni masikini hadi akili.
Uwanja wa Taifa umezungukwa na mabanda umiza, nyumba zisizo na hadhi kukaa mjini.