Hii picha Ina tatizo gani

Hii picha Ina tatizo gani

Kwan Tanzania kwa afrika tunapitwa na nchi gani kwa maendeleo ukitoa South Africa Nigeria na nchi za kiarabu
Ghana, Angola, Zambia, Djibouti. Nk.

Sisi hata Zambia wanatuzidi mipango miji, ustaarabu, miji iliyopangiliwa. Tanzania tuna miji iko hovyo hovyo.
 
Nchi hii ya ovyo kabisa...wizara ya michezo ijitathimini kwa hili.
 
Sawa na pale Victoria mwananyamala ukipita barabarani utasema Niko Nyuyoku tembea hatua 100 nyuma ya Yale maghorofa ndio utajua hujui.
 
Inabidi na sisi tuukienda kwao tupige picha ya namna hiyo kama tutabahatika kuona.
 
Mi nnachojua tunasubiri kukandwa, kuhusu picha sielewi hata....
 
Ukitembea nchi za watu kisha ukaja Tanzania ukajiuliza sisi ni masikini hadi akili.

Uwanja wa Taifa umezungukwa na mabanda umiza, nyumba zisizo na hadhi kukaa mjini.
Hivi kwa eneo lile la uwanja wa taifa nyumba hizi zipo upande gani
 
Back
Top Bottom