Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Nimewahi elezea juu ya Picha hii siku za nyuma kidogo. leo tena nimeendelea kuiangalia picha hii na kuendelea kuitafakari zaidi na zaidi na kujikuta nikiguswa sana na Picha hiyo.
Embu Fikiria hapo. Kutoka pichani Mheshimiwa Balozi DKT Emmanueli Nchimbi Amependekezwa na kupitishwa na Rais Samia kuwa Mgombea Mwenza wake katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu wa 2025..
Lakini Pia Huyo huyo Balozi DKT Emmanueli Nchimbi ndiye katibu Mkuu wa CCM kwa sasa.
Hapo hapo ukitizama pichani unamuona Mzee Stephen Wasira.Ambaye naye Majuzi juzi ametoka kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa. Ambaye huyo Mwenyekiti Ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Ambaye ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugu zangu Watanzania hakuna picha inayopigwa kwa bahati mbaya katika Siasa na katika Dunia hii. Angalia sana picha unazopiga na kuweka mitandaoni.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.