Hii Picha Itadumu kwa Miaka Mingi Sana Na Kuonyesha kuwa hakuna picha Ya bahati mbaya Inayopigwa Ikulu

Lissu kalelewa na Mbowe akiwa hajulikani, leo anamuona Mbowe kama hana maana kabisa, Lissu hana shukrani kabisa sio mtu wa kufanyiwa hisani.
1997 wakati Lissu yuko anawapambania wachimbaji wa madini Nyamongo Mbowe alikuwa wapi?
 
Ikulu hata ushuzi hautoki kwa bahati mbaya, na ukitoka unanukia marashi ya Versace Eros.
download.jpeg
 
Hoja ni kuwa CCM ina wenyewe na familia zinazojuana ndio hushika madaraka kwenye hicho chama hivyo wewe endelea kulamba buku 7 hapo Mbozi.
CCM ni ya wana CCM wote. Hakuna aliye bora kuliko mwingine ndani ya CCM. Sisi wana CCM tunasema Binadamu wote ni sawa.
 
Soma Yeremia 17: 5
Thus says the Lord: “Cursed is the man who trusts in man, who makes flesh his arm, whose heart departs from the Lord. He will be like a bush in the wilderness, and will see no good come to him. He will live in a parched land in the wilderness, in a salt land where no one lives. “Blessed is the man who trusts in the Lord, whose hope is the Lord. He will be like a tree planted by the waters, that sends out its roots by the spring. It will not fear when heat comes, but its leaf will remain green. It will not be anxious in the year of drought, and it will not cease to bear fruit.
 
Hongera kwa kukopi kizungu na kukiweka hapa.
 
Back
Top Bottom