Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Utalaanika wewe na wivu wako na chuki zako binafsi zilizokujaa.Hebu tupumzishe kidogo na huyo mamaako utasababisha sasa apate laana badala ya baraka.. Unamtaja kupita Mungu wako na wazazi wako.. Utalaanika
Nimekusamehe bure kabisa bila kinyongo.We jamaa ukilewa visungura unakuwa hivyo kuliko kinyesi....
Umelaaniwa wewe.Ameshalaaniwa huyo unayempa angalizo kama isemavyo Yeremia 17 : 5.
Sawa nashukuru. Mimi nimekusamehe bure kabisaHuyu ni mwehu tu nilishamweka kwenye kundi la watu wenye mahitaji maalum.
Msamehe bure.
Huyo kidampa hata Dodoma hakwenda.Nauli ya kuondokea Dodoma Nani kakulipia ?
Upo sahihi na wala hujakosea. Ubarikiwe sana. Vipi una hoja nyingine ya ziada.Huyo kidampa hata Dodoma hakwenda.
Unisamehe nimekukosea nini Luca?Sawa nashukuru. Mimi nimekusamehe bure kabisa
1997 wakati Lissu yuko anawapambania wachimbaji wa madini Nyamongo Mbowe alikuwa wapi?Lissu kalelewa na Mbowe akiwa hajulikani, leo anamuona Mbowe kama hana maana kabisa, Lissu hana shukrani kabisa sio mtu wa kufanyiwa hisani.
Sasa hapa wivu umetoka wapi?😂😂😂Utalaanika wewe na wivu wako na chuki zako binafsi zilizokujaa.
Hoja ni kuwa CCM ina wenyewe na familia zinazojuana ndio hushika madaraka kwenye hicho chama hivyo wewe endelea kulamba buku 7 hapo Mbozi.Upo sahihi na wala hujakosea. Ubarikiwe sana. Vipi una hoja nyingine ya ziada.
Watatu nani mkuu hapo..?Picha ina marais watatu.
Alipigwa mande ndiyo akapata nauliNauli ya kuondokea Dodoma Nani kakulipia ?
Soma Yeremia 17: 5Umelaaniwa wewe.
Mimi ameshaniambia nina wivu na nitalaanika mimi😂😂😂kweli nimeamini hoi ni mental caseUnisamehe nimekukosea nini Luca?
Mimi kugundua shida zako na kukuweka kwenye kundi lenu la wenye mahitaji maalum ni kukukosea?
CCM ni ya wana CCM wote. Hakuna aliye bora kuliko mwingine ndani ya CCM. Sisi wana CCM tunasema Binadamu wote ni sawa.Hoja ni kuwa CCM ina wenyewe na familia zinazojuana ndio hushika madaraka kwenye hicho chama hivyo wewe endelea kulamba buku 7 hapo Mbozi.
Thus says the Lord: “Cursed is the man who trusts in man, who makes flesh his arm, whose heart departs from the Lord. He will be like a bush in the wilderness, and will see no good come to him. He will live in a parched land in the wilderness, in a salt land where no one lives. “Blessed is the man who trusts in the Lord, whose hope is the Lord. He will be like a tree planted by the waters, that sends out its roots by the spring. It will not fear when heat comes, but its leaf will remain green. It will not be anxious in the year of drought, and it will not cease to bear fruit.Soma Yeremia 17: 5
Umezeeka vibaya sana akili na mwili.Ikulu hata ushuzi hautoki kwa bahati mbaya, na ukitoka unanukia marashi ya Versace Eros.
Hongera kwa kukopi kizungu na kukiweka hapa.Thus says the Lord: “Cursed is the man who trusts in man, who makes flesh his arm, whose heart departs from the Lord. He will be like a bush in the wilderness, and will see no good come to him. He will live in a parched land in the wilderness, in a salt land where no one lives. “Blessed is the man who trusts in the Lord, whose hope is the Lord. He will be like a tree planted by the waters, that sends out its roots by the spring. It will not fear when heat comes, but its leaf will remain green. It will not be anxious in the year of drought, and it will not cease to bear fruit.
Hawezi kuacha uboya huyu ana show off za kishamba sana.Unazingua.