View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Well said.....Kiongozi hem edit uzi wako andika kilichopaswa kufanywa kulingana na sheria na taratibu.
Maana kwa upesi upesi mimi nadhani protocol ndozo zinaongea nani akae wapi na si umri.
Heb nieleze kulingana na protocol ipoje maana ukiongelea umri mkuchika angekaa kwa Samia hapo
Af akina kabudi, akina lukuvu pembeni yake sio ??
Mimi nimejiuliza swali tu, nasikia umri dawa!Hayo ni mambo ya itifaki ndugu. Itifaki haingalii umri.
Akubali pumzika akae na wajukuu hapo ni mamlaka sio mviView attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Vipi kama ali-volunteer kusimama?Kiongozi hem edit uzi wako andika kilichopaswa kufanywa kulingana na sheria na taratibu.
Maana kwa upesi upesi mimi nadhani protocol ndozo zinaongea nani akae wapi na si umri.
Heb nieleze kulingana na protocol ipoje maana ukiongelea umri mkuchika angekaa kwa Samia hapo
Af akina kabudi, akina lukuvu pembeni yake sio ??
Bashungwa yeye anawaza kuwaua kuwateka kuwabambikia kesi chadema na wengine hapo wanawaza vya kukwapua mwisho mwishoUkiwatazama walivyokaa hapo, unaweza fikiri ninwatu wa maana sanaaaaa wanajua wanachofanyaaa kumbe wehu watupu wamerundikana hapo
Namba 2 kwa nafasi ni mtu mkubwa sana bro. Ni katibu wa Baraza. Mtendaji mkuu wa Baraza. Heshima lazima akae. Huyo namba 3 ni nani?View attachment 3407055
Namba 1, 2 na 3 wasingepaswa kukaa kabla ya mzee Mkuchika.
Mkuchika hana Wizara yoyote anayoongozaView attachment 3407055
Namba 1, 2 na 3 wasingepaswa kukaa kabla ya mzee Mkuchika.
Alikuwa waziri wa nn vile ukipata jibu rudi walokaa hapo ni backbencher1. Kwenye protocals hata baba yako anaweza kukupigia saluti kama umemzidi cheo.
2. Yawezekana kizazi chetu kinapambania visibility kiasi cha kutomuangalia yoyote unaempita, cha msingi uonekane na ufike kileleni. Kwa hiyo hata anaestahili anaweza asipewe nafasi kama ataamua kutojitutumua au kupambania nafasi yake tofauti na unavyowaza
3. I don't care, kwa hiyo wacha niwaache wafu mzikane
SI Hataki kustaafu Wacha anyooshweView attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Hadhi, cheo, nafasi ndio huleta mpangilioView attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Siku hizi wanashindana kuzaa na wajukuu, mjukuu anazaa na babu naye anaendelea kufyatuaWazee wamegoma kustaafu
Vijana wangapi, au una maana gani kusema vijana..kwa hiyo Mzee Mkuchika anastahili kukalua viti viwili..? Kwa heshima ya umri aliyepaswa asimame ni Biteko..! Mbona watanzania mnapenda kuzunguka zunguka hata jambo liko wazi.View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Protocol ni tofauti sana na bloggingView attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Tusiawalaumu hawa vijanaVijana wangapi, au una maana gani kusema vijana..kwa hiyo Mzee Mkuchika anastahili kukalua viti viwili..? Kwa heshima ya umri aliyepaswa asimame ni Biteko..! Mbona watanzania mnapenda kuzunguka zunguka hata jambo liko wazi.