Itifaki kiongozi, ndio maana kuna kustaafu sio kwamba umepungukiwq tu nguvu za mwili ila pia kuepusha matendo sahihi yanayoweza kuonekana kama kutwezwa au kudharaulika.
Japo pia sasa kuna uwandamizi kama ni ngazi moia na hapo labda ndipo uliweke sawa swali au dukuduku lako. Ni nani waziri mwandamizi na je anastahili kukaa namna gani kwenye itifaki tajwa?.