njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Leo mchana niliona tweet kwenye page ya Al Hilal kwamba maofisa wake WATATU wanakuja Dar es Salaam kuweka mazingira sawa, nilisahau ku i capture na usiku huu siioni, nafikiri ipo deleted.
Kilichonistua ni tweet yao mpya kwamba afisa wao (mmoja) kafika DSM na kapokelewa na Injinia Hersi. Katika experience ya kufatilia sijawahi kusikia mtu anayetangulizwa kuweka mambo sawa anapokelewa na mwenyeji, maana hii siyo official arrival ya team ninachojua huwa wana report kwenye chama cha soka husika.
Sasa kama ni ya leo kweli, basi Injinia Hersi kacheza kama pele ku pre empty madai ya ajabu yatakayotokea kama wakifungwa , kumbuka simba zilivyopostiwa picha za hamis kisiwa akiwa na afisa balozi wa south africa akiwapokea orlando pirates usiku wa manane siku mbili kabla ya mechi kule South Africa walisema ni photoshop sababu waliamini maneno ya kocha wao kwamba hawakupokewa airport.
Ila bado naamini huyo jamaa hajaja mwenyewe na bado najiuliza kama kaja kuweka mambo ya hotel, usafiri sawa na mengineyo kwa nini akubali kupokewa na Hersi, ina maana walitoa taarifa kabla? Hapa kuna chezo zito sana.