Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Nchi hii yetu ni masikini sana lakini ina gapu kubwa sana kati ya walichonacho na wasiokuanavyo.
Tafadhari wafundisheni watoto wenu kuwa watoto wa vijana wenzenu walio na hali duni sio kwamba baba zao ni wavivu au fikra mbovu, ni basi tu fursa uliopata hakubahatika kuipata.
Mfundishe kuwa kuna watu wanapiga kazi sana na ni wanyenyekevu kwa watu ila wanachoambulia ni maisha ya msoto⏭️nusu raha⏭️msoto mkali⏭️robo raha⏭️msoto.
Kuna watu pesa pekee ya maana wanayopata ni bajeti tu ya kula, nyingine ili maisha yaendelee, shule kwa watoto, mkeo angalau asuke, kodi ya vyumba viwili , etc ni lazima akope kausha damu na kuilipa ni kimbembe.