Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Kujua au kuto kujua hilo ni suala langu binafsi, haliwahusu na wala halihusiki hapa.
Eti swala lako binafsi .
Wakati umeshatuambia unafukunyuliwa kwa mpalange na ndo mtetezi .
Kama vipi ishi maisha yako unayosema mbona sasa unaaminisha umma kuwa nyie kutafunwa visogoni ni kawaida?

Kaa kimya kama ushaoza usitake wengine waoze kama wewe
 
Kuna mgombea mmoja wa urais tz kasema na BBC HARD TALK kuwa atawatetea, kuwalinda, na kufuta sheria zote zinazowazuia watu wa jinsia moja kupelekana kwampalange!! kazi kwenu.

Kasikilize vizuri huenda lugha inakusumbua sababu ya elimu yako ya kayumba. Ila alisema endapo kutakuwa na sheria zinapingana na katiba unless unaongelea ushabiki wako hapo sawa.
 
Kuna mgombea mmoja wa urais tz kasema na BBC HARD TALK kuwa atawatetea, kuwalinda, na kufuta sheria zote zinazowazuia watu wa jinsia moja kupelekana kwampalange!! kazi kwenu.
Shida sio wewe ni Elimu ya BRN
 
Kutokea kulia, man-wonan, man-wonan, man-woman, man-man, tunaweza kuconclude kuwa huyo wa kushoto kabisa ni mali ya huyo wa pili kutoka kulia.
 
Ongeza sauti booh lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeh sanaah lol
 
Kuna vide moja jamaa anasema, let them be, and they leave more ladies for us to enjoy. Na kile kiingereza chake cha Uganda ndio kinanivunja mbavu kabisa.

Mkuu usisahau kuwa hata hao ladies tunao achiwa nao wanadumbukia kwenye Shimo la homosexuality
 

We lijinga sana kama majinga mengine, yaani unaona mambo kama hayo ni kawaida wakati Sio kabisa.
 
Poleee San maan huna hoja na hujui nini kinazungumzwa, umekumbwa na mhemko usio na mantiki hata kidogo.

Hoja ni kwamba kila mtu anaishi maisha yake binafsi na kwa uhuru wake, na hakuna aliyetangaza hapo, maan hata huyo muhusika hajawahi kutangaza zaidi ya wanadamu kufuatilia maisha yake binafsi na kugundua hilo.

Na nikuulize wee kwani faragha ya mtu ni matangazo? Kana kwamba ni lazima iwekwe wazi? Kwahiyo jambo lisilo kawaida ambalo huusiki nalo au haliku athiri kwa chochote wee una umia kwa kipi?

Dunia ni Duara cous inajizungusha ktk mhimili wake, na sisi tulipo ndan ya Dunia tuna slide pasipo kuanguka.

Hebu relaaaaax
 
Nina wasi wasi na ubongo wako km uko timamu wallah, hivi mbona sioni mantiki yako nn au unasimamia hoja ipi?

Suala la faragha yangu ni binafsi wala sio lazima liwe wazi kwa yeyote unless niamue iwe hivyo. Hata km ingekua kadri ya fikra na mtazamo wako,

Yes naishi maisha yangu binafsi ambayo nimeyachagua kua nayo na ninaya furahia haswaaaah, kuhusu huo umma unao uzungumzia kuona ni kawaida iwe unakubali au kukataa haibadilishi uhalisia na itabaki kua hivyo tu.

Poleeeeeeh sanaah.
 
Woooooooooop hapo sasa, [emoji833] n [emoji833], na [emoji1665] n [emoji1665]. Umemalizaaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…