Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Kujua au kuto kujua hilo ni suala langu binafsi, haliwahusu na wala halihusiki hapa.
Eti swala lako binafsi .
Wakati umeshatuambia unafukunyuliwa kwa mpalange na ndo mtetezi .
Kama vipi ishi maisha yako unayosema mbona sasa unaaminisha umma kuwa nyie kutafunwa visogoni ni kawaida?

Kaa kimya kama ushaoza usitake wengine waoze kama wewe
 
Kuna mgombea mmoja wa urais tz kasema na BBC HARD TALK kuwa atawatetea, kuwalinda, na kufuta sheria zote zinazowazuia watu wa jinsia moja kupelekana kwampalange!! kazi kwenu.

Kasikilize vizuri huenda lugha inakusumbua sababu ya elimu yako ya kayumba. Ila alisema endapo kutakuwa na sheria zinapingana na katiba unless unaongelea ushabiki wako hapo sawa.
 
Kuna mgombea mmoja wa urais tz kasema na BBC HARD TALK kuwa atawatetea, kuwalinda, na kufuta sheria zote zinazowazuia watu wa jinsia moja kupelekana kwampalange!! kazi kwenu.
Shida sio wewe ni Elimu ya BRN
 
Picha hii imewekwa kwenye akaunti yao ya Twitter huku wakiweka caption isomekayo Sauti Sol Family.

Maswali yameibuka kuwa mbon akuna Mwanaume na Mwanaume je nao ni wapenzi kama hao wa jinsia tofauti?

Kwa muda mrefu zimekuwepo taarifa za mmoja wa wanakikundi hiki cha muziki kutoka Kenya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Kutokea kulia, man-wonan, man-wonan, man-woman, man-man, tunaweza kuconclude kuwa huyo wa kushoto kabisa ni mali ya huyo wa pili kutoka kulia.
 
Lol, hua nina wasiwasi na mitungi yenu ya akili kama hua inashuka ujazo au ipo empty kabisa,

Homosexuals hawajaanza karne hii, miaka na miaka walikuwepo na Heterosexuals walikuwepo na dunia ilizaliana na maisha yalisonga,

Matasa na Wagumba walikuwepo karne na karne na wazima walikuwepo na dunia ilisonga, (umepata point yangu au niongeze sauti?[emoji851])
Ongeza sauti booh lol.
 
Mbavu zangu mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanikoshaga hapo tu, uzi nisingeuonea raha kama usingekuwepo,

Dunia ina mambo mengi ya kukabiliana nayo ajabu watanzania wapo busy kunusa vinyeo vya watu na kuanza kuzungumza fulani hivi fulani vile, lol

Hua nashangaa sana mada kama hizi zinaletwa na hao wapinga ushoga na wachangiaji hua wale wale wakereketwa halafu walivyokosa haya usoni mwao wanaitana kusema "lazima fulani na fulani ungewakuta kwa huu uzi" wanajisahau na wenyewe hua hawakosekani katika nyuzi hizo hizo, teh

Neno unafki lilianzia Tanzania walai.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeh sanaah lol
 
Kuna vide moja jamaa anasema, let them be, and they leave more ladies for us to enjoy. Na kile kiingereza chake cha Uganda ndio kinanivunja mbavu kabisa.

Mkuu usisahau kuwa hata hao ladies tunao achiwa nao wanadumbukia kwenye Shimo la homosexuality
 
Lol, hua nina wasiwasi na mitungi yenu ya akili kama hua inashuka ujazo au ipo empty kabisa,

Homosexuals hawajaanza karne hii, miaka na miaka walikuwepo na Heterosexuals walikuwepo na dunia ilizaliana na maisha yalisonga,

Matasa na Wagumba walikuwepo karne na karne na wazima walikuwepo na dunia ilisonga, (umepata point yangu au niongeze sauti?[emoji851])

We lijinga sana kama majinga mengine, yaani unaona mambo kama hayo ni kawaida wakati Sio kabisa.
 
Naona wasagaji tumewagusa mmewaka kama mbogo.hahaha
Sasa kama ni private yako kwanini mtutangazie hapa huoni mnaweka public?
Sasa mnatulaumu nini ikiwa mnataka wazi tuone ni kawaida wewe kufukunyuliwa kwa mpalange? Wazazi wako kama wangejua unafukunyuliwa kisogon wangekulaani.

LA mwisho nipe huo uthibitisho kwamba dunia ni duara?

Dawa inawaingia
Poleee San maan huna hoja na hujui nini kinazungumzwa, umekumbwa na mhemko usio na mantiki hata kidogo.

Hoja ni kwamba kila mtu anaishi maisha yake binafsi na kwa uhuru wake, na hakuna aliyetangaza hapo, maan hata huyo muhusika hajawahi kutangaza zaidi ya wanadamu kufuatilia maisha yake binafsi na kugundua hilo.

Na nikuulize wee kwani faragha ya mtu ni matangazo? Kana kwamba ni lazima iwekwe wazi? Kwahiyo jambo lisilo kawaida ambalo huusiki nalo au haliku athiri kwa chochote wee una umia kwa kipi?

Dunia ni Duara cous inajizungusha ktk mhimili wake, na sisi tulipo ndan ya Dunia tuna slide pasipo kuanguka.

Hebu relaaaaax
 
Eti swala lako binafsi .
Wakati umeshatuambia unafukunyuliwa kwa mpalange na ndo mtetezi .
Kama vipi ishi maisha yako unayosema mbona sasa unaaminisha umma kuwa nyie kutafunwa visogoni ni kawaida?

Kaa kimya kama ushaoza usitake wengine waoze kama wewe
Nina wasi wasi na ubongo wako km uko timamu wallah, hivi mbona sioni mantiki yako nn au unasimamia hoja ipi?

Suala la faragha yangu ni binafsi wala sio lazima liwe wazi kwa yeyote unless niamue iwe hivyo. Hata km ingekua kadri ya fikra na mtazamo wako,

Yes naishi maisha yangu binafsi ambayo nimeyachagua kua nayo na ninaya furahia haswaaaah, kuhusu huo umma unao uzungumzia kuona ni kawaida iwe unakubali au kukataa haibadilishi uhalisia na itabaki kua hivyo tu.

Poleeeeeeh sanaah.
 
Wanahaha na ushoga hawa kuliko mtu yeyote yule!

Wao ndio wanaibua habari za ushoga halafu wanasema mashoga wanasambaza ushoga! Very ironical! Hahaha!

Kwanza nilikuwa sijui kabisa kuwa hao ni mashoga ndio naelezwa sasa hivi!

Watu wameweka mambo yao binafsi katika faragha zao, lakini hawa mashoga wa humu kutwa hawaishi kuwaanika hadharani!!

Kimsingi wao ndio wasambazaji wa ushoga, wasitupe lawama kwa wengine!
Woooooooooop hapo sasa, [emoji833] n [emoji833], na [emoji1665] n [emoji1665]. Umemalizaaaaaah
 
Back
Top Bottom