Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Mifiraji na inapigia debe ufiraji.Then wanaumizwa na kijambio cha mwenzao.
Wanawake hapa inabidi tusimame maana mambo yanabadilika kwa kasi ya ajabu.Wanaume hawautaki uanamme na majukumu yake kadri siku zinavyoenda.
Wanaume kila siku kuhusudu kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile, tena wanajipiga kifua na kujisifu au kusifia sehemu ya nyuma,

Ila wakisikia au ikiwa kuhusu Gayism wanachefukwa na ku hemkwa kwa ghadhabu kana kwamba ni suala geni au la ajabu. Hivi kinyeo cha kiume na kike kina tofauti gan?

na almost wengi wao wanaopinga masuala ya gayism ni wafiraji haswaah, hiyo yote ni kujihami msieeeeew zao.

Nkae kimya tyuuuh nisije kulipua [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95] watu wakaikimbia JF.
 
Aiseeeeee
Kwahiyo wewe ikiwa mtu kaamua kufanya kitu kwa utashi wake mwenyewe wewe huna shida kabsaaaaa........kiufupi haikuhusu?
Haijalishi ni kitu gani ilimradi hakikuathiri wewe
 
Two wrong can't make it right

Pili kuna tofauti kubwa kati ya kikojoleo cha mke na cha mama au mtoto au shangazi kama issue ni kiungo
Au wewe unapita navyo vyote sababu vyote ni viungo sawa?
 
Aiseeeeee
Kwahiyo wewe ikiwa mtu kaamua kufanya kitu kwa utashi wake mwenyewe wewe huna shida kabsaaaaa........kiufupi haikuhusu?
Haijalishi ni kitu gani ilimradi hakikuathiri wewe
Hilo sio swali, ndo jibu lenyeweeeh.
 
DUNIA SIMAMA NISHUKE [emoji44] aya yanayo endelea sitak kuyaona mm
 
Nenepa tu kwa stress sio kesi japo haichekeshi
 
UPINDE WA MVUA KAZINI
Kila mtu ana haki ya kuamua maisha yake binafsi yawe vipi kadri ya matakwa yake.
Wala hakuna kupangiana, acha muhusika afurahie chaguo pendwa na hitaji ktk maisha yake.
Yaan wa TZ ni watu wa ajabu sana, wanataka kupangia maisha ya mtu binafsi, duuuuh
Watu huko wanatukana kama wamerukwa na akili, yaani wana hasira na maisha ya wengine wanasahau ya kwao, hasa Watanzania sijui kwanini?
Nacheka tu na comments.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
acheni uchawi, picha siyo moyo wala roho, kuna viongozi wapo makanisanikila jumapili kumlilia mungu ila mikono yao imejaa damu na shingoni wamevaa misalaba huku wakiubiri chuki dhidi ya kabila flani na watu wa kanda flani.
 
Kila mtu ana haki ya kuamua maisha yake binafsi yawe vipi kadri ya matakwa yake.
Wala hakuna kupangiana, acha muhusika afurahie chaguo pendwa na hitaji ktk maisha yake.
Mmmmh!!!!.
[emoji53][emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…