Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Kama hukuwahi kua hata kiranja shule utakua rais wa wapi labda wa milembe, [emoji3]Aliyeumba hakuumba shoga ila ushoga ni vitabia vya kujiendekeza
Nije nishike hii nchi mtatafuta kwa kwenda la sivyo nitawaanzishia safari ya moto huko jehanum mtamalizia tu
Wala sio tatizo ila ni fikra za watu fulan, kwahyo napita kule wao wanakoona sahihi ndo naweka hoja kihivyo ili waelewe vizuri.Bebe kumbe ni tatizo?
Malezi ya watoto wako wapatie mwenyewe mzazi unazaa mtoto ili aje acopy tabia za wengine huko ni kufail,Sorry mkuu wewe ni Me au ni KE?
BTW ntaheshimu maamuzi yako lakini haya ya kufanyika public nàmna hii yana athari kubwa kwa watoto wetu wanao waona hawa kama ma role model wao
Ooooh kumbe ndio maana anatetea kwa nguvu zote dah.Kwani hujui ni mmoja wao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana hemkwa na kupovuka bureeh, si awaue anashindwa nini sas lol.Wewe nae Mkuu nenda polepole, haya Mambo huezi kuya control kwa Jazba.
Si ni KE au?Mkuu unavyoijua id ni ME au ni KE?
Tusichoshane.Kwaiyo wewe unashabikia "ushog" ?
Umeishiwa hoja afu unasema upuuzi? Poleeeh sanaaah afu relaaaaaxHivi ni wewe kweli unae tetea huu upuuzi au?
AiseeChief, huyo unayejibizana nae nimewahi kuona mahali wakimtuhumu kuwa ni mchele kibua. Kwahiyo yaweza kuwa unachokifanya ni kama kumpelekea fisi kesi ya kondoo.
Kwahiyo km nikiwa m1 wao? Huhuhuh maadam kwan wee una athirika kipi? Duuuuh sikujua nawee ni m1 kati ya watu ambao wana mkanganyiko wa fikra na mtazamo. Ila sorry relaaax n enjoy ur own life.Kwani hujui ni mmoja wao?
Wameshindwa wenzio uweze wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah hebu relaaax na u deal wid ur own life.Aliyeumba hakuumba shoga ila ushoga ni vitabia vya kujiendekeza
Nije nishike hii nchi mtatafuta kwa kwenda la sivyo nitawaanzishia safari ya moto huko jehanum mtamalizia tu
Swala halihitaji hoja ila lanahitaji kukemewa tu kama mapepo mengine nami nasema huyu pepo ASHINDWE KATIKA JINA LA YESU [emoji120][emoji120][emoji120]Umeishiwa hoja afu unasema upuuzi? Poleeeh sanaaah afu relaaaaax
hatujataka tunasikitikaKitendo cha kutaka wote muone utamu wa mwanamke ndio kupangiana maisha huko.... amechagua njia yake inayompa utamu.
Ulaaniwe wewe na kizazi chako chote, yani mavi ndiyo faragha? akili za kiupuuzi kabisa ambazo hata hayawani hafanyi, Pthuuu!Kwa hiyo ulitaka awafanyaje? Kwanza faragha za watu unazijuaje kama sio kukosa kazi.
Kemea sasa kwa upande wako, usitake kila mtu akemee ili hali haliwa athiri kwa chochote.Swala halihitaji hoja ila lanahitaji kukemewa tu kama mapepo mengine nami nasema huyu pepo ASHINDWE KATIKA JINA LA YESU [emoji120][emoji120][emoji120]
Wewe umejuaje kama haliwa athari kwa chochote au na wewe ni walewale tu kasoro tarehe?Kemea sasa kwa upande wako, usitake kila mtu akemee ili hali haliwa athiri kwa chochote.
Jamani mbna kuna mambo mengi ya msingi ktk kujadili km wadau kwa maslahi mapana ya nchi, na sio faragha za watu binafsi khaaaah.
Kila mtu ana haki ya kuishi vile atakavyo, ili hali hai athiri kanuni taratibu na sheria, Pa1 na maisha ya watu wengine.
Relaaaaax
Laana zitufikie wote me na wewe,Ulaaniwe wewe na kizazi chako chote, yani mavi ndiyo faragha? akili za kiupuuzi kabisa ambazo hata hayawani hafanyi, Pthuuu!
Tell them boo.... lolWameshindwa wenzio uweze wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah hebu relaaax na u deal wid ur own life.
Ushoga ni taasisi pana na kubwa, wala usidhan itatetereka, kamweeh haiwezekan, ila nyie wenye mkanganyiko wa fikra na mtazamo mtaishia kuhemkwa tyuuuh 4 nothing.
Dunia ni Duara
Upumbavu kabisaNi kweli.Sasa kinachokera kuona watu wanakereka mwanamme akifanyiwa hivyo tu.Ila humu JF kumejaa nyuzi za kusifu kufanyia wanawake huo mchezo.Ndo unafiki unapoanzia.
Unaleta personal attacks lol, sasa kwani hilo suala wee una athirika vipi kwa huyo chimano kuwa Gay?Wewe umejuaje kama haliwa athari kwa chochote au na wewe ni walewale tu kasoro tarehe?