Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Aliyeumba hakuumba shoga ila ushoga ni vitabia vya kujiendekeza

Nije nishike hii nchi mtatafuta kwa kwenda la sivyo nitawaanzishia safari ya moto huko jehanum mtamalizia tu
Kama hukuwahi kua hata kiranja shule utakua rais wa wapi labda wa milembe, [emoji3]
Ujumbe wa mtaa huwezi kupata hahahaha endelea kuota
 
Sorry mkuu wewe ni Me au ni KE?

BTW ntaheshimu maamuzi yako lakini haya ya kufanyika public nàmna hii yana athari kubwa kwa watoto wetu wanao waona hawa kama ma role model wao
Malezi ya watoto wako wapatie mwenyewe mzazi unazaa mtoto ili aje acopy tabia za wengine huko ni kufail,

Mimi ni dume la mbegu, vipi?
 
Wewe nae Mkuu nenda polepole, haya Mambo huezi kuya control kwa Jazba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana hemkwa na kupovuka bureeh, si awaue anashindwa nini sas lol.
 
Kwani hujui ni mmoja wao?
Kwahiyo km nikiwa m1 wao? Huhuhuh maadam kwan wee una athirika kipi? Duuuuh sikujua nawee ni m1 kati ya watu ambao wana mkanganyiko wa fikra na mtazamo. Ila sorry relaaax n enjoy ur own life.
 
Aliyeumba hakuumba shoga ila ushoga ni vitabia vya kujiendekeza

Nije nishike hii nchi mtatafuta kwa kwenda la sivyo nitawaanzishia safari ya moto huko jehanum mtamalizia tu
Wameshindwa wenzio uweze wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah hebu relaaax na u deal wid ur own life.

Ushoga ni taasisi pana na kubwa, wala usidhan itatetereka, kamweeh haiwezekan, ila nyie wenye mkanganyiko wa fikra na mtazamo mtaishia kuhemkwa tyuuuh 4 nothing.

Dunia ni Duara
 
Umeishiwa hoja afu unasema upuuzi? Poleeeh sanaaah afu relaaaaax
Swala halihitaji hoja ila lanahitaji kukemewa tu kama mapepo mengine nami nasema huyu pepo ASHINDWE KATIKA JINA LA YESU [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kemea sasa kwa upande wako, usitake kila mtu akemee ili hali haliwa athiri kwa chochote.

Jamani mbna kuna mambo mengi ya msingi ktk kujadili km wadau kwa maslahi mapana ya nchi, na sio faragha za watu binafsi khaaaah.

Kila mtu ana haki ya kuishi vile atakavyo, ili hali hai athiri kanuni taratibu na sheria, Pa1 na maisha ya watu wengine.

Relaaaaax
 
Wewe umejuaje kama haliwa athari kwa chochote au na wewe ni walewale tu kasoro tarehe?
 
Wameshindwa wenzio uweze wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah hebu relaaax na u deal wid ur own life.

Ushoga ni taasisi pana na kubwa, wala usidhan itatetereka, kamweeh haiwezekan, ila nyie wenye mkanganyiko wa fikra na mtazamo mtaishia kuhemkwa tyuuuh 4 nothing.

Dunia ni Duara
Tell them boo.... lol
 
Wewe umejuaje kama haliwa athari kwa chochote au na wewe ni walewale tu kasoro tarehe?
Unaleta personal attacks lol, sasa kwani hilo suala wee una athirika vipi kwa huyo chimano kuwa Gay?

Niambie wee kwako kuna tatizo gan? toa hoja ili nikuelewe unacho kisimamia, sio mhemko wa bure tyuuuh khaaaqh
 
Back
Top Bottom