Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Mbona unajihami sana, kakutukana? Au kakufokea? Alikuwa anampa taarifa tu kuwa wewe ni mmoja wao ila ulivyokuja juu unaonekana kabisa unatesekaKwahiyo km nikiwa m1 wao? Huhuhuh maadam kwan wee una athirika kipi? Duuuuh sikujua nawee ni m1 kati ya watu ambao wana mkanganyiko wa fikra na mtazamo. Ila sorry relaaax n enjoy ur own life.