Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

1598113857577.png
 
Kwahiyo huyo unae msema n punga akichanwa hicho ulichokitaja wee una athirika vipi? Ishi maisha yako binafsi, ya wengine hayakuhusu khaaaah.

Mnafuatilia San faragha za watu, kwan zenu nani anawafuatilia?
Poleeh San kwa kuhemkwa kwa jambo usilohusika nalo, kaa kwa kutulia, hakuna kupangiana, enjoy ur life choice.

Dunia ni Duara.
Akili ni kitu cha kutunza mnooo
 
She's so insecure, she don't make love with the lights on
So insecure, she don't wanna talk about it no
And I'm so insecure one day she'll leave me
And she'll find another guy
Who makes her happier than I
Juu nikiwa maji
Mi ni chizi
Mi ni stalker
Nakuhallaa
When you're naked, I see angels
And I hope you see the same
You're insecure (eeeeeh)
I'm insecure (aaaaaah)
Baby, you're so insecure (eeeeeh)
I'm insecure (aaaaaah)

Huu wimbo wao mkali sana.
Wape picha maelezo watakupa wao.
I'm so insecure kusomanga message ukiniachia phonee
 
Good boy!!

Wasikupangie kabisa. Tena waeleze kwa herufi kubwa bila KUBABAIKA!

Kila mmoja ana haki ya kufurahia faragha yake bila KUELEKEZWA NA YEYOTE.

Hakuna cha maadili ya kitanzania wala ya kitanganyika!

If you can suck a dick, just suck it!

Wakiona wivu wape lako walinyonye! FULLSTOP!
Tena nawapa kwa uwazi kabisaaa ili waelewe vilivyo.
 
Kwani utajiri ni mbaya?Mbona huwa tunaomba tutajirike,tufanikiwe na tiwe na afya njema??
Matumizi ya viungo vyake ni maamuzi yake.Hata kama ni mabaya there is nothing you can do.
Maombezi yanakwenda sambamba na kukemea mabaya kulinda mazuri

Tunapoomba hatuombei utajiri, mafanikio wala afya
Tunakemea ubaya unaoweza kuteteresha huo utajiri, mafanikio na Afya
 
GODZILLA , Culture Me , cocastic ..

Kama nyie mmeoza bakini na uozo wenu msitake kuaminisha umma kuwa ni kawaida nyie kutafunwa visogoni
Hivi unajua kua nini unazungumza? Haya wee ambae hujaoza kwa huo uozo unao maamisha, una toa hoja ipi au unataka kusemaje juu ya maisha binafsi ya mtu, hasa ktk upande wa faragha?

Wee km hupendi huo uozo unao uzungumzia kadri ya fikra na mtazamo wako basi epukana nao binafsi, na sio kuingilia maisha ya mtu tena ambaye hayakuathiri kwa chochote, kisa wee hupendi.

Ishi maisha yako binafsi ili ufurahie chaguo la maisha yako, ya wengine hayakuhusu na wala hutahusika nayo kamweeh hata Dunia igeuke.

Kila mtu ana haki ya kuamua juu ya maisha yake binafsi pasipo kuingiliwa wala kuzuiliwa, ili hali hai athiri kanuni, taratibu na sheria Pa1 na maisha ya wengine.

Relaaaaax Dunia ni Duara.
 
Bby tulia bhana ukianzaga humalizi
Hiyo video uliyoweka umeitoa wapi km wee hufatilii masuala hayo?
Hivi huon km unazidi kuonesha uhalisia wako wa ndani, poleee San.
 
Maombezi yanakwenda sambamba na kukemea mabaya kulinda mazuri

Tunapoomba hatuombei utajiri, mafanikio wala afya
Tunakemea ubaya unaoweza kuteteresha huo utajiri, mafanikio na Afya
Sasa usilazimishe maombi yako yakawa sawa na yangu.Mi naomba afya njema n.k sikemei.
 
Back
Top Bottom