jogoo wa maajabu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 773
- 1,589
huna akili wewe nae ni bwabwaKila mtu anaona sahihi kwake kulingana ma matakwa ya hitaji lake, usitake mtazamo na fikra au mapendekezo yako basi yawe sawa wengine, haiwezekan kamwe.
Kila mtu na life style yake ambayo anaona kwake ni sawa. Na ujue kila mtu ana hako na uhuru was kufanya jambo ambalo kwake ni sahihi pasipo kuathiri mwingine. Hakuna kupangiana.
Acha kila mtu aishi maisha yake binafsi, live ur own life.