Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Kila mtu anaona sahihi kwake kulingana ma matakwa ya hitaji lake, usitake mtazamo na fikra au mapendekezo yako basi yawe sawa wengine, haiwezekan kamwe.

Kila mtu na life style yake ambayo anaona kwake ni sawa. Na ujue kila mtu ana hako na uhuru was kufanya jambo ambalo kwake ni sahihi pasipo kuathiri mwingine. Hakuna kupangiana.


Acha kila mtu aishi maisha yake binafsi, live ur own life.
huna akili wewe nae ni bwabwa
 
Kwa hiyo auntie umeamua kabisa kucome out of closet na kuandika hadharani unaliwa?
Lakini nakumbuka ulisema bikra wewe?
Haya umeanza lini hayo mambo?
Kwa comment hii,acha nirudi page kwa page nione

hizi simulizi zimeanzia wapi,sina kazi wapendwa leo.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Tena Anakula wale BATA wakubwa wakubwa sio Vi bata maji unaambiwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kaamua tu kujiachia amechoka kujibana bana.
Ukimkuta sasa amekibinua kitako chake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kasumba ya binadamu wengi wanaoamini utamaduni wa kikundi fulani cha watu ni zaidi ya haki binafsi za watu wengine hata kama haki hizo hazina madhara kwao.
Watu huko wanatukana kama wamerukwa na akili, yaani wana hasira na maisha ya wengine wanasahau ya kwao, hasa Watanzania sijui kwanini?
Nacheka tu na comments.
 
Madam.

Kwa mtazamo wako, watoto wakiamini kuwa same sex ni sawa, Hawa watoto hawajaumia?

Au unataka kuumia kwa kutoka Damu?

Kuhusu "filosofi" sio kila sehemu utatumia ndio Mana Kuna maswali ukitumia filosofi point of view unakua hauko sahihi lakini ukijibu kwa thiolojia point of view unakua sahihi!

Swali kwako? Kuumia kwa Jamii kwako una tafsir vipi?
[emoji304][emoji2524]‍[emoji304][emoji304][emoji2524]‍[emoji304][emoji304][emoji2524]‍[emoji304]
 
Ww ni yupi hapo??
[emoji304][emoji7][emoji304][emoji7]
Hata sikuelewi unasemaje???? Lol
Culture's%20family..jpg
 
Back
Top Bottom