Hii picha za Hayati Magufuli msibani kwa Kijazi ilizungumza mengi sana

Hii picha za Hayati Magufuli msibani kwa Kijazi ilizungumza mengi sana

Watu walicheza na opportunity ya COVID tu
Mtandao Noma sana..halfu kwa bypass kwa Lissu kua ni yeye na ilihali ilikua ni wao...mzee wa watu hakuna na shida na mtu ila alikua na shida na mafisadi ya nchi aliyachukia sana..ila ndio hivyo ..Kuna mahala alizembea...unaona TRAORE anavyoishi, ...jpm alipaswa kuishi hivyo ..
 
Vita ya kiuchumi ni mbaya sana na ni ngumu sana zaidi ya aina zingine za vita,mniombee.
Alikuwa akisema mara kwa mara yule jamaa.
 
Back
Top Bottom