Hii Pikipiki (boxer) imenishinda, fundi mtabe njoo hapa unisaidie

fufumajeusi

Senior Member
Joined
Dec 21, 2024
Posts
148
Reaction score
254
pikipiki yangu inatoa moshi, kila nikitepeleka kwa fundi anabadili piston kits, na bla blaa kibao kwamba imepona. after few period inajirudia tatizo lile linajirudia!
 
niko domu mkuu
Uko Dodoma sehemu gan? Je ni boxer hizi HD tolea jipya? Bm 125 ni ngumu sana kwa uzoefu wangu kuliko Bm 150. Lakin pia unaweza ukawa unabadilisha piston kila siku kumbe inapwaya kwenye block hiyo ikapelekea Moshi kutoka. Pia wakat mwingine unaweza kubadilisha piston na ikafit vizur japokuwa baadhi ya mafund huwa wanasahau kubadilisha valve seal hivyo kupelekea Moshi kutoka. Kwahiyo ni hivyo. Ushauri wangu usiuze kwanza sababu mara nyingi pikipiki huwa inasiku zake kadhaa za kusumbua na matatizo hujitokeza. Hivyo ukipata fundi mzur utasahau matatizo Tena hata kwa miez kadhaa!..
 
Kwa boxer hakikisha spare yoyote ya engine ni original sio fundi ajipachikie tu spare yoyote.

Pia sio mafundi wote wanaweza kutengeneza boxer, wengine ni wa pikipiki za mchina tu ila ukienda kwake atakwambia anaweza tu. Jaribu kuonana na fundi mzuri anayezijua boxer
 
Uko Dodoma sehemu gan? Je ni boxer hizi HD tolea jipya? Bm 125 ni ngumu sana kwa uzoefu wangu kuliko Bm 150. Lakin pia unaweza ukawa unabadilisha piston kila siku kumbe inapwaya kwenye block hiyo ikapelekea Moshi kutoka. Pia wakat mwingine unaweza kubadilisha piston na ikafit vizur japokuwa baadhi ya mafund huwa wanasahau kubadilisha valve seal hivyo kupelekea Moshi kutoka. Kwahiyo ni hivyo. Ushauri wangu usiuze kwanza sababu mara nyingi pikipiki huwa inasiku zake kadhaa za kusumbua na matatizo hujitokeza. Hivyo ukipata fundi mzur utasahau matatizo Tena hata kwa miez kadhaa!..
125 HD , nipo kongwa. thanks mkuu
 
Back
Top Bottom