fufumajeusi
Senior Member
- Dec 21, 2024
- 148
- 254
- Thread starter
- #21
oyahuzo hyo pikipiki ununue injini
oyahuzo hyo pikipiki ununue injini
noted mkuu , nitatoa mrejeshoKwa boxer hakikisha spare yoyote ya engine ni original sio fundi ajipachikie tu spare yoyote.
Pia sio mafundi wote wanaweza kutengeneza boxer, wengine ni wa pikipiki za mchina tu ila ukienda kwake atakwambia anaweza tu. Jaribu kuonana na fundi mzuri anayezijua boxer
orex oil mkuuUnafanya services kwa wakati pamoja na kumwaga oil ?
Huenda oil unazotumia sio bora