Kwa boxer hakikisha spare yoyote ya engine ni original sio fundi ajipachikie tu spare yoyote.
Pia sio mafundi wote wanaweza kutengeneza boxer, wengine ni wa pikipiki za mchina tu ila ukienda kwake atakwambia anaweza tu. Jaribu kuonana na fundi mzuri anayezijua boxer