Hii pisi mazee ni hatari

Hii pisi mazee ni hatari

DSM kuna watoto sometime unaweza sema daah nouma Sana , sema watoto kama hao kuwaweka ndani utaishia kuwanyuka risasi tuuu wahuni wenye verosa hawaogopi kusplash cash ili kumla mtoto mzur ....labda awe wa kishua na akuelewe kama shilole na kile kibenten
Sure man...yani yule mwanamke ata ukimtoa out inabid hata uani usiende....maana kiukweli huwez kumuoa na ukawa nae peke ako..labda aamue tu
 
Mkuu mimi sio mgeni wa kuona wanawake wazuri..lakini ile ni balaaaa..halafu toto lilikua limevaa high heels na sketi nyeusi...uwiiii balaaaa kubwa
Tatizo wakoromije mnakuwa na wenge, hizo pisi mbona kawaida sana......ona sasa umeshawaingizia watu ratiba za kwenda kufanya utalii hapo maeneo.
 
Bila picha ni Bure tu
Mkuu maelezo yote hayo hujajenga picha....ok chuku sura ya welu sengo,,midomo ya priyanka chopra alafu lips ongeza kidogo ,,punguza mashavu kidogo,,,kifuani weka nyonyozi za uwoya..kiuno kiweke cha huda monroe...hips hapo niwekee za sanchoka au winnie nwagi wa uganda.....miguu ya uwoya..hapo hujaelewa tu..???
 
Back
Top Bottom