Hii pisi mazee ni hatari

Dooh kwahiyo kaka bora niwe mpenzi wake,,ila mpenzi mtazamaji
 
IFM na TIA, GPA haizidi 3,likiomba kazi lazima lipewe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sure mkuu yule hawezi kua alisoma udom vumbi la kule lingempa kansa mtoto wa watu.....na kwenye ushindani wa soko la ajira anachohitaji yule ni aitwe kwenye interview tu..akifika tu.. kazi kapata
 
Kwa maelezo haya mkuu utakua unamjua vizuri...eti anakula mlo kanikiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ....pili asante kwa kuweza kumdadavua huyu babyface vizuri Ili at least ata wenzangu walioko kazuramimba wapate picha
 
Nyie vijana! Natoa onyo kaeni mbali sana na hiyo mali. Nitakuwa nayo muda si mrefu tule weekend. Sasa ole wake mtu ajipendekeze na suruali zenu za njiwa manati ya kizungu inamuhusu.
 
Aiseeeeee πŸ˜₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…