Hii pisi mazee ni hatari

Hii pisi mazee ni hatari

Atakuwa ni Fau huyo...ana mwaka wa 8 huu hajui ladha ya ugali, hajawahi kutembea zaidi ya mita 25 kwa miguu...! Hiyo shape ni ya Gym nzuri na kila baada ya Gym anamalizia na zoezi la kuswim then simple body massaging...!

Kifupi weekend anashinda SPA na anakula mlo kamili, kizuri gharama.

Jipange [emoji23]
Dooh kwahiyo kaka bora niwe mpenzi wake,,ila mpenzi mtazamaji
 
IFM na TIA, GPA haizidi 3,likiomba kazi lazima lipewe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sure mkuu yule hawezi kua alisoma udom vumbi la kule lingempa kansa mtoto wa watu.....na kwenye ushindani wa soko la ajira anachohitaji yule ni aitwe kwenye interview tu..akifika tu.. kazi kapata
 
Atakuwa ni Fau huyo...ana mwaka wa 8 huu hajui ladha ya ugali, hajawahi kutembea zaidi ya mita 25 kwa miguu...! Hiyo shape ni ya Gym nzuri na kila baada ya Gym anamalizia na zoezi la kuswim then simple body massaging...!

Kifupi weekend anashinda SPA na anakula mlo kamili, kizuri gharama.

Jipange [emoji23]
Kwa maelezo haya mkuu utakua unamjua vizuri...eti anakula mlo kaniki😃😃😃....pili asante kwa kuweza kumdadavua huyu babyface vizuri Ili at least ata wenzangu walioko kazuramimba wapate picha
 
Nyie vijana! Natoa onyo kaeni mbali sana na hiyo mali. Nitakuwa nayo muda si mrefu tule weekend. Sasa ole wake mtu ajipendekeze na suruali zenu za njiwa manati ya kizungu inamuhusu.
 
Atakuwa ni Fau huyo...ana mwaka wa 8 huu hajui ladha ya ugali, hajawahi kutembea zaidi ya mita 25 kwa miguu...! Hiyo shape ni ya Gym nzuri na kila baada ya Gym anamalizia na zoezi la kuswim then simple body massaging...!

Kifupi weekend anashinda SPA na anakula mlo kamili, kizuri gharama.

Jipange [emoji23]
Aiseeeeee 😥
 
Back
Top Bottom