Hii pisi mazee ni hatari

Hii pisi mazee ni hatari

Kwa jinsi mtoto alivo mzuri yule ikiwapendeza uongozi wa JF uandamane hadi pale kuhakiki nnachokisema
 
Harikaa avae m-bora huu ni mwedi
Shigha avae
Screenshot_20220617-181444.jpg
 
Unamsifia kimaneno lkn unamsiliba na kumtia ubaya kwa maandishi yako, mfano unasema, "linavyo tembea, linachambia hamira, liko flat, la kitoto,kuliona hilo toto, lime soma" Matumiz ya kianzilishi "Li" huleta tafsiri kwamba kitu hicho au jambo hilo au mtu huyo anaezungumzwa, ni "mbaya,hapendezi, amekaa dude flani hivi, yupo rough, goigoi, n.k ,
Tumia lugha nzuri kuelezea vitu vzuri.
 
HaHaa yani ilo neno "li" ni kiwakilishi cha neno "toto zuri' ....ukiliona ilo toto utaelewa nini namaanisha
 
Bila picha mzee unakuwa unaleta hadith za sungura na fisi apa
Wazee hasa wa mjini daslamu hebu mnisaidie....huyu mwanamke nimemuona yuko hapo ubungo plaza ground floor kwenye bank moja inaitwa sijui akiba au DCB(kama nimekosea mtanirekebisha)...

Huyu mwanamke nilimuona last week na inavoonekana ni mfanyakazi wa hiyo bank...
Sifa zake...

Mrefu:cm 180-190
Anasura flani lakitoto sana:yani akikaa nadhani utajua toto dogo...lips flani ivi ambazo hata angelina jolie anazitamani🥰🥰 Kifua na tumbo: tumbo liko flat...kifua chuchu zimesimama na kuchongoka kama kalamu za bic😃😃..

Huku chini na nyuma; uwiiiiiii hapo sasa ndio balaaaa...toto lina mahips hatari maana hata shakira ile nyimbo ya hips don't lie nadhani alimuimbia yeye...Makalio lile toto nadhani either linachambia hamira ama livivu kwendaa haja kubwa....

Sasa linavotembea nikajisemea tu hivi waliokaa kamati ya kutuchoma moto kwa kuvunja amri ya sita waliyaona haya jamani..!!

Halafu wadau waliobahatika kuliona hilo toto watakubaliana na mimi either limesoma IFM au TIA full stop..! Na GPA yake haizidi tatu..maana lilivo tu lazima likiomba kazi lipewe...

Wakulungwa mnaolijua hilo toto refu zuri...lina hips na mswambanda...na sura ya kitoto kwenye hiyo bank apo ground floor ukiwa unaingia upande wa kulia...tupeane koneksheni..

NB:hata kama sitaweza kumpatq mimi wako vichaa wangu wao hawataona hatari kuchoma pesa ili wananiliuuu badala yangu....She is hotter than the tropic( in priyanka chopra's voice)
 
Wazee hasa wa mjini daslamu hebu mnisaidie....huyu mwanamke nimemuona yuko hapo ubungo plaza ground floor kwenye bank moja inaitwa sijui akiba au DCB(kama nimekosea mtanirekebisha)...

Huyu mwanamke nilimuona last week na inavoonekana ni mfanyakazi wa hiyo bank...
Sifa zake...

Mrefu:cm 180-190
Anasura flani lakitoto sana:yani akikaa nadhani utajua toto dogo...lips flani ivi ambazo hata angelina jolie anazitamani[emoji3059][emoji3059] Kifua na tumbo: tumbo liko flat...kifua chuchu zimesimama na kuchongoka kama kalamu za bic[emoji2][emoji2]..

Huku chini na nyuma; uwiiiiiii hapo sasa ndio balaaaa...toto lina mahips hatari maana hata shakira ile nyimbo ya hips don't lie nadhani alimuimbia yeye...Makalio lile toto nadhani either linachambia hamira ama livivu kwendaa haja kubwa....

Sasa linavotembea nikajisemea tu hivi waliokaa kamati ya kutuchoma moto kwa kuvunja amri ya sita waliyaona haya jamani..!!

Halafu wadau waliobahatika kuliona hilo toto watakubaliana na mimi either limesoma IFM au TIA full stop..! Na GPA yake haizidi tatu..maana lilivo tu lazima likiomba kazi lipewe...

Wakulungwa mnaolijua hilo toto refu zuri...lina hips na mswambanda...na sura ya kitoto kwenye hiyo bank apo ground floor ukiwa unaingia upande wa kulia...tupeane koneksheni..

NB:hata kama sitaweza kumpatq mimi wako vichaa wangu wao hawataona hatari kuchoma pesa ili wananiliuuu badala yangu....She is hotter than the tropic( in priyanka chopra's voice)
A typical woman in Dar es salaam is either dealing with a sponsor, baby daddy issues or friends with benefits arrangement. Some deal with all the three.
 
Atakuwa ni Fau huyo...ana mwaka wa 8 huu hajui ladha ya ugali, hajawahi kutembea zaidi ya mita 25 kwa miguu...! Hiyo shape ni ya Gym nzuri na kila baada ya Gym anamalizia na zoezi la kuswim then simple body massaging...!

Kifupi weekend anashinda SPA na anakula mlo kamili, kizuri gharama.

Jipange [emoji23]
 
IFM na TIA, GPA haizidi 3,likiomba kazi lazima lipewe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom