Hii Post-Election-Fever kwa Watawala inanikumbusha kauli hii ya Gwajima

Hii Post-Election-Fever kwa Watawala inanikumbusha kauli hii ya Gwajima

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Nakumbuka katika Moja ya Press ya Gwajima alisema itakuwa ngumu sana kuliongoza Taifa lenye mpasuko na mgawanyiko utakoletwa na Uchaguzi ambao mnalazimisha kuufanya.

Leo hii wanahaha kinoma. Mara PM kasema hili, Mara Polisi wamezuia mafuta mara Waziri wa vijana kala spana.

Yote haya mlionywa, sijui mlikuwa mnawaza kwa kutumia nini hadi mkapuuza yale mlikuwa mnaambiwa.

Leo hii PM anasema yupo tayar hata kuwa Wazari Mkuu aliyehudumu muda mfupi zaid😂😂😂

Na hiyo dio Post-Election-Fever
 
Nakumbuka katika Moja ya Press yake alisema itakua ngumu sana kuliongoza Taifa lenye mpasuko na mgawanyiko utakoletwa na Uchaguzi ambao mnalazimisha kuufanya.

Leo hii wana haha kinoma Mara PM kasema hili, Mara Polisi wamezuia mafuta mara Waziri wa vijana kala spana.

Yote haya mlionywa sijui mlikua mnawaza kwa kutumia nini hadi mkapuuza yale mlikua mnaambiwa.

Leo hii PM anasema yupo tayar hata kua Wazari aliehudumu mda mfupi zaid😂😂😂 na hio dio Post Election Fever
Shida ya CCM akili zero na tamaa kubwa iliyoachanganya na KIBURI
 
Kiukweli ni vigumu sana kuwaongoza watu ambao hawakutaki, ni kuwabaka kidemokrasia na lazima upinzani uwe mkubwa.

Sioni miaka mitatu mbele Kwa huyu rais haramu. Kazi anayo, hajachelewa aamue sasa!
 
Kweli leo neamini huyu mazeli hamnazo..Hivi kweli mzee wa msoga kakuingiza chaka hivi hivi?na Pole pole mbona alikusanua wewe na kukupa ushauri mzuri tu nini cha kufanya?

Ona sasa unanuka kiila konaa yani umejipotezea heshima hadi kwa watoto wa nursery wanakuongelea vibaya utakua mgeni wa nani wewe mwanamke umejua kutuabisha wewe?
Yani wewe umeponza wanawake nahisi wa dunia nzima kwa umbulula wako!Pole pole alikupa zinga ya ushauri ambao unge save chama chako na kulinda heshima yako..
Ona sasa!
 
Tamaa mbaya by 20%
 
Back
Top Bottom