THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
HeheheLabda walikuwa wanawaza kwa kutumia endpoint ya digestive system 😁
Shida ya CCM akili zero na tamaa kubwa iliyoachanganya na KIBURINakumbuka katika Moja ya Press yake alisema itakua ngumu sana kuliongoza Taifa lenye mpasuko na mgawanyiko utakoletwa na Uchaguzi ambao mnalazimisha kuufanya.
Leo hii wana haha kinoma Mara PM kasema hili, Mara Polisi wamezuia mafuta mara Waziri wa vijana kala spana.
Yote haya mlionywa sijui mlikua mnawaza kwa kutumia nini hadi mkapuuza yale mlikua mnaambiwa.
Leo hii PM anasema yupo tayar hata kua Wazari aliehudumu mda mfupi zaid😂😂😂 na hio dio Post Election Fever
Asiyesikia la mkuu huvunijika guu!Dakika ya 27 hadi 30 aliongea yanayotokea sasa kwakua ajuza muuaji alijiita chura kiziwi acha apate malipo yake.
View: https://www.youtube.com/live/o5JTOmMAMmk?si=CUb9qIP6hHMWmmnt
Naam kibibi saa hizi kinakula mijeledi kila kona, sio AU, EU na soon ICC.Asiyesikia la mkuu huvunijika guu!
Kmmk 🤣🤣Bado lile li ujumbe la page 82 kutoka ICC, wapo kwenye mazoezi ya kingereza muda huu
Mpaka leo PM wamwisho ni Mjaliwa na Makamu Raisi ni Mpango.Kumbe Kuna serikali TANZANIA me naona wauni tu
Tamaa mbaya by 20%Kweli leo neamini huyu mazeli hamnazo..Hivi kweli mzee wa msoga kakuingiza chaka hivi hivi?na Pole pole mbona alikusanua wewe na kukupa ushauri mzuri tu nini cha kufanya?
Ona sasa unanuka kiila konaa yani umejipotezea heshima hadi kwa watoto wa nursery wanakuongelea vibaya utakua mgeni wa nani wewe mwanamke umejua kutuabisha wewe?
Yani wewe umeponza wanawake nahisi wa dunia nzima kwa umbulula wako!Pole pole alikupa zinga ya ushauri ambao unge save chama chako na kulinda heshima yako..
Ona sasa!
Asante Mkuu kwa ka videoDakika ya 27 hadi 30 aliongea yanayotokea sasa kwakua ajuza muuaji alijiita chura kiziwi acha apate malipo yake.
View: https://www.youtube.com/live/o5JTOmMAMmk?si=CUb9qIP6hHMWmmnt
Mungu azidi kumbariki popote alipoNaona Maneno ya mpakwa mafuta Humprey Polepole ni kama yote yanatokea alipokuwa akisisitiza reforms na kushupaza shingo. Maridhiano feki
Watalua sana this roundBado lile li ujumbe la page 82 kutoka ICC, wapo kwenye mazoezi ya kingereza muda huu