Ni kwenye seat ya gari. Hapo sio nyumbani. Hayo mafuta alikuwa anasafiri nayo kabisaaaa. Huyu Baba atakuwa anafanywa vibaya.Huyu atakuwa ******, na mwaka jana aliweka pia... Ofa ya Ommy dimpoz yawatoa mapovu mashabiki
Hawana siri hawa wapenda Sifa, Tungeshajua siku miiiiiingi.Mkuu utajuaje labda anatangaza biashara ya hizo product mbili na hueanda akawa analipwa vilevile
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakapokuwa na uelewa kama wanavyoelewa wengine utaelewa kwa sasa kaa kimya hutaelewa kituJamani mi naona uelewa wangu hauendani na kasi ya wana jf.
Mi naona kaweka mafuta pamoja na simu. Ubaya hapo uko wapi kutangaza biashara au there is something behind?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] is he empty headed?This is what happens when you are high on drugs with empty head.....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] is he empty headed?
brain is the beautiful part of the body.
Wabongo mshaingiza habari za elimu kwenye na tabia za watu ila ndiyo nyie nyie mnatukana Lipumba ambaye ni profesa.
OMG
Si anajulikana yupoje.. hapo anatafuta wakumpatia raha kwa simu ya bure. Ni kama analega watu wa kima cha chini... labda wenye pesa wamemkimbia.. na simu mtu huyo hatapata..