Puppy
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,995
- 2,513
Ni kwenye seat ya gari. Hapo sio nyumbani. Hayo mafuta alikuwa anasafiri nayo kabisaaaa. Huyu Baba atakuwa anafanywa vibaya.Huyu atakuwa ******, na mwaka jana aliweka pia... Ofa ya Ommy dimpoz yawatoa mapovu mashabiki
Post yenye maudhui Yale Yale mwaka wa pili mfulululizo. Kampuni ya mafuta ni ile ile (Inaonekana ni mtumiaji wa kilainishi hicho sana).
Dah eti msanii
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii