TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Kutoka Mikocheni hadi Mahakama Kuu, na kutoka Mikocheni hadi Rufiji, wapi mbali?LAKINI KAMA MPENDA MEMA WA NCHI YAKE , ANA KOSA GANI KWENYE UWEPO WAKE ? NISHATI NI YA KILA MTU
maskini,View attachment 3656114
“Mwenyekiti wetu, Freeman A. Mbowe akadai katiba mpya, akafunguliwa kesi ya ugaidi, akakaa gereza la Ukonga miezi 8, pale nilipowekwa mimi sasa. Tukapambana na kesi ya uongo ya ugaidi. Wakamkuta na kesi ya kujibu. Siku ya kutakiwa kujitetea hatukumuona tena Mahakamani, bali akatokea Ikulu. Hata jana nimesikia yupo huko Rufiji kwenye uzinduzi wa bwawa la Mwl, Nyerere, anahudhuria uzinduzi wa bwawa ka maji wakati mwenyekiti wake nipo kizimbani kwenye kesi ya uhaini. Mwenzetu yupo na mama.”
Tundu A.M Lissu, Mahakama Kuu, 24.08.2026
Wakati wenzake wanampigania kutoka jela kwa ile kesi ya uongo, na wenyewe pia wangeweza kufungamana kuwa kitu kimoja na watawala! Ila wao hawakufanya hivyo! Badala yake walishikamama naye mpaka mwisho.LAKINI KAMA MPENDA MEMA WA NCHI YAKE , ANA KOSA GANI KWENYE UWEPO WAKE ? NISHATI NI YA KILA MTU
Mtakufa nyie, Tundu Lissu ni mpango wa Mungu. Yeye ndiye Mkombozi Wa Taifamaskini,
kifo cha nyani hua cha fedheha sana aise dah 🐒
Mtakufa nyie, Tundu Lissu ni mpango wa Mungu. Yeye ndiye Mkombozi Wa Taifa
Sasa wewe ndio unaonekana una chuki, hadi unamtukana kwa kumwita mpumbavu.Hii pia ni sababu ya huyu mpumbavu kufungwa amejaa Chuki na visasi imagine huyu itokee bahati mbaya akashinda urais atakamata kila mtu Kwanza anaanza lini kujitetea kuhusiana na Shtaka linalomkabili mahakamani? Maana naona anahangaika tuu kutafuta huruma
huyo,Hii pia ni sababu ya huyu mpumbavu kufungwa amejaa Chuki na visasi imagine huyu itokee bahati mbaya akashinda urais atakamata kila mtu Kwanza anaanza lini kujitetea kuhusiana na Shtaka linalomkabili mahakamani? Maana naona anahangaika tuu kutafuta huruma
Wala hatukatai ila tunaomba kuuliza kwako wewe sasa rufiji na ukonga wapi mbali?LAKINI KAMA MPENDA MEMA WA NCHI YAKE , ANA KOSA GANI KWENYE UWEPO WAKE ? NISHATI NI YA KILA MTU
KAMA KATUMIA SIN NA COS , MWENDO WA PEMBE TATU, SHORT CUT INAWEZA IKAWA NJIA UNAYOIONA WEWE MBALI, MBOWE NI MWANA MAHESABU , NA HESABU ZAKE KALI . LET THAT MAN LEAVE , TUNDU ALISEMA SASA JAMAA ANAHITAJI KUSTAAFU, JAMAA ANAKULA MAFAO, MNAANZA KUMSHOBOKEA, NOW MNAAMINI MBOWE NI MASHINE . TULIENI , MWANA ARELAX , TUNAMUOMBA ATURUDISHIE TU BILLICANAS ILI TUBANJUKE VIZURI NA UMEME WA KUTOSHA.Kutoka Mikocheni hadi Mahakama Kuu, na kutoka Mikocheni hadi Rufiji, wapi mbali?
Mpumbavu siyo tusi ni Kivumishi-adjectiveSasa wewe ndio unaonekana una chuki, hadi unamtukana kwa kumwita mpumbavu.
Mwana mahesabu aliyepata F ya hisabati kidato cha 6KAMA KATUMIA SIN NA COS , MWENDO WA PEMBE TATU, SHORT CUT INAWEZA IKAWA NJIA UNAYOIONA WEWE MBALI, MBOWE NI MWANA MAHESABU , NA HESABU ZAKE KALI . LET THAT MAN LEAVE , TUNDU ALISEMA SASA JAMAA ANAHITAJI KUSTAAFU, JAMAA ANAKULA MAFAO, MNAANZA KUMSHOBOKEA, NOW MNAAMINI MBOWE NI MASHINE . TULIENI , MWANA ARELAX , TUNAMUOMBA ATURUDISHIE TU BILLICANAS ILI TUBANJUKE VIZURI NA UMEME WA KUTOSHA.
KAMA KATUMIA SIN NA COS , MWENDO WA PEMBE TATU, SHORT CUT INAWEZA IKAWA NJIA UNAYOIONA WEWE MBALI, MBOWE NI MWANA MAHESABU , NA HESABU ZAKE KALI . LET THAT MAN LEAVE , TUNDU ALISEMA SASA JAMAA ANAHITAJI KUSTAAFU, JAMAA ANAKULA MAFAO, MNAANZA KUMSHOBOKEA, NOW MNAAMINI MBOWE NI MASHINE . TULIENI , MWANA ARELAX , TUNAMUOMBA ATURUDISHIE TU BILLICANAS ILI TUBANJUKE VIZURIKutoka Mikocheni hadi Mahakama Kuu, na kutoka Mikocheni hadi Rufiji, wapi mbali?
HISTORIA ITAMKUMBUKA KAMA GAIDI PEKEE ALIYETURUKISHA MAJOKA USIKU KUCHA , NA DISKO LIKATOA VUMBI. MBOWE BIN LADEN , MWANAFIZIKIA WA CHADEMA. WAMEMISS MAHESABU YAKE. LEO WANALIA LIA. MBOWE WAKAMATIE HAPO HAPO CHAGAA BOYMwana mahesabu aliyepata F ya hisabati kidato cha 6