Hii Quotation ya leo inapasua anga, ardhi na maji

Hii Quotation ya leo inapasua anga, ardhi na maji

Kuna mahali panaposema kila mjumbe wa Kamati Kuu ni lazima ahudhurie kesi ya Lissu? Na je wajumbe wote wanahudhuria? Na kumbuka kuwa ujumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe hautokani na kuchaguliwa au kuteuliwa. As long as he is a member wa Chadema atakuwa mjumbe wa hiyo Kamati hata kama hatataka.

Kaka yake Lissu ( ambae ni CCM) alimshauri Lissu awe magnanimous in victory, lakini Lissu akampuuza.
Sidhani kama Mbowe anamchukia Lissu kwa sababu alimshinda katika uchaguzi. Kama ana mchukia, ni kwa sababu ya mambo aliyomfanyia kabla na baada ya uchaguzi. Lissu na wenzake wangefuata ushauri wa kaka yake, hali hii isingejitokeza.

Toa mfano wa vendetta ya Mbowe dhidi ya Lissu. Tupe mfano wa juhudi za Mbowe za kuhakikisha Lissu anashindwa katika uenyekiti wake. Kwa maneno mengine, onyesha namna Mbowe anavyo msabotage Lissu.

Mbowe ana haki ya kukubali mualiko wowote atakaopokea. Hahitaji ridhaa ya chama chake. Kuhudhuria ufunguzi wa mradi wa kitaifa sio usaliti. Kama ambavyo kutohudhuria nako sio usaliti.

Amandla...
Screenshot_20260825_081033.jpg
Screenshot_20260825_081041.jpg

Unaufahamu msimamo wa CHADEMA kuhusu utawala uliopo madarakani? Usaliti huu alioufanya wa kushiriki katika shughuli ambayo officially kwa CHADEMA si serikali halali na haina uhalali wa kutawala mpaka labda kufanyike reconciliations na concessions, amesaliti msimamo wa CHADEMA na hana tofauti na Covid19(Halima na the crew) walivyofanya back then.
Kaka yake Lissu ni CCM na interest ziko huko hivyo he doesn't qualify to advise Lissu on the political struggles.
 
View attachment 3656494View attachment 3656495
Unaufahamu msimamo wa CHADEMA kuhusu utawala uliopo madarakani?
Nifahamishe
Usaliti huu alioufanya wa kushiriki katika shughuli ambayo officially kwa CHADEMA si serikali halali na haina uhalali wa kutawala mpaka labda kufanyike reconciliations na concessions, amesaliti msimamo wa CHADEMA na hana tofauti na Covid19(Halima na the crew) walivyofanya back then.
Nionyeshe mahali ambapo Chadema imekataza wanachama wake kushiriki katika shughuli zote za kiserikali.
Kaka yake Lissu ni CCM na interest ziko huko hivyo he doesn't qualify to advise Lissu on the political struggles.
Hapo ndipo mnapokosea. Mnataka kusema kuwa kaka yake Lissu alitaka kumchuuza mdogo wake? Kiburi hiki ndicho kilichowafikisha hapa mlipo.

Amandla...
 
Nifahamishe
-CHADEMA haiutambui utawala ulio madarani kama ni upo kiuhali hivyo kushirikiana na ni kuuhalalisha.
Nionyeshe mahali ambapo Chadema imekataza wanachama wake kushiriki katika shughuli zote za kiserikali.
-Ref: Waliyofanya Covid 19, collaborating with illegitimate government(huu ndiyo msimamo wa CHADEMA) ni openly kwenda kinyume na msimamo wa chama.
Hapo ndipo mnapokosea. Mnataka kusema kuwa kaka yake Lissu alitaka kumchuuza mdogo wake? Kiburi hiki ndicho kilichowafikisha hapa mlipo.
-Ndugu huwa wanafikia hata extent ya kuuana ndiyo ushangae kuchuuzana? And who told you kuwa kaka yake Lissu ndiyo standard unit ya opinions kwamba analoshauri ndiyo linapaswa kuwa? What if his political calculations are wrong and Lissu's are right?
 
Ni mahali gani panaposema kuwa ni lazima Mbowe ahudhurie kesi ya Lissu?
Wakati wa kesi ya Mbowe, chama chake kiliongoza mapambano ya kumpigania. Wakina Ruge na wenzake walilala sana ndani kwa kuongoza maandamano (wao waliita jogging) kupinga kiongozi wao kubambikiwa kesi ya ugaidi. Kuna wakina mama walijigalala nje ya ubalozi wa Marekani wakidai hilo hilo. Wananchi walikuwa wanajazana kila siku nje ya Mahakama kufuatilia kesi ya Mbowe.

Kwa vile Chadema, Bawacha na Bavicha bado vipo wanazuiwa na nani kuandamana na kufurika Mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu? Wakifanya hivyo watakuwa na impact zaidi ya Mbowe kwenda Mahakamani. Swali la kujiuliza ni kwa nini hawafanyi hivyo?

Amandla...
Jibu la aya yako ya mwisho lipo oct 29.
 
Back
Top Bottom