Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Machoko yakilegezwa mitaro kazi yake ni kujamba hovyomaskini,
kifo cha nyani hua cha fedheha sana aise dah 🐒
Machoko yakilegezwa mitaro kazi yake ni kujamba hovyomaskini,
kifo cha nyani hua cha fedheha sana aise dah 🐒
Nadhani Lissu anapotoka.Siasa si uadui.View attachment 3656114
“Mwenyekiti wetu, Freeman A. Mbowe akadai katiba mpya, akafunguliwa kesi ya ugaidi, akakaa gereza la Ukonga miezi 8, pale nilipowekwa mimi sasa.
Tukapambana na kesi ya uongo ya ugaidi. Wakamkuta na kesi ya kujibu. Siku ya kutakiwa kujitetea hatukumuona tena Mahakamani, bali akatokea Ikulu.
Hata jana nimesikia yupo huko Rufiji kwenye uzinduzi wa bwawa la Mwl, Nyerere, anahudhuria uzinduzi wa bwawa ka maji wakati mwenyekiti wake nipo kizimbani kwenye kesi ya uhaini. Mwenzetu yupo na mama.”
Tundu A.M Lissu, Mahakama Kuu, 24.08.2026
Kuna mahali panaposema kila mjumbe wa Kamati Kuu ni lazima ahudhurie kesi ya Lissu? Na je wajumbe wote wanahudhuria? Na kumbuka kuwa ujumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe hautokani na kuchaguliwa au kuteuliwa. As long as he is a member wa Chadema atakuwa mjumbe wa hiyo Kamati hata kama hatataka.
Kaka yake Lissu ( ambae ni CCM) alimshauri Lissu awe magnanimous in victory, lakini Lissu akampuuza.
Sidhani kama Mbowe anamchukia Lissu kwa sababu alimshinda katika uchaguzi. Kama ana mchukia, ni kwa sababu ya mambo aliyomfanyia kabla na baada ya uchaguzi. Lissu na wenzake wangefuata ushauri wa kaka yake, hali hii isingejitokeza.
Toa mfano wa vendetta ya Mbowe dhidi ya Lissu. Tupe mfano wa juhudi za Mbowe za kuhakikisha Lissu anashindwa katika uenyekiti wake. Kwa maneno mengine, onyesha namna Mbowe anavyo msabotage Lissu.
Mbowe ana haki ya kukubali mualiko wowote atakaopokea. Hahitaji ridhaa ya chama chake. Kuhudhuria ufunguzi wa mradi wa kitaifa sio usaliti. Kama ambavyo kutohudhuria nako sio usaliti.
Amandla...
Wacha ayaweke yote hadharaniNadhani Lissu anapotoka.Siasa si uadui.
Wengi waliosimama nae bado wanamuamini. Tofauti na viongozi wenzake na wanao jidai kuwa wapenda haki ambao hawakusimama nae hata alipoita maandamano kupinga mauaji na kupotea kwa watu kunakotokea. Aliyejiunga nae ni binti yake na wale wakina mama waliotoka nyanda za juu. Mnaojifanya kuwa mlikuwa nae hamkuwepo. Hata Lissu hakujitokeza.Huyo Mbowe wako watu walisimama naye sana alipotajwa kuhusika kuuza ngada, na aliposhitakiwa kwa Ugaidi.
At the time mwenyekiti wako anapewa kesi nzito ili kuidhoofisha CHADEMA, ilipaswa akae mbali na watesi, siyo kujichanganya katika hadhara zao. Kwenda katika hadhara hizo ni dalili kuwa anaungana nao katika uonevu wanaomfanyia mwenyekiti wa chama
Yaani hili lijamaa nilifikiri Lina akili kumbe ni bwege tu, Lina akili za kukariri vifungu tu basi. Sasa ndo kaongea nini' hapo punga huyo?!!View attachment 3656114
“Mwenyekiti wetu, Freeman A. Mbowe akadai katiba mpya, akafunguliwa kesi ya ugaidi, akakaa gereza la Ukonga miezi 8, pale nilipowekwa mimi sasa.
Tukapambana na kesi ya uongo ya ugaidi. Wakamkuta na kesi ya kujibu. Siku ya kutakiwa kujitetea hatukumuona tena Mahakamani, bali akatokea Ikulu.
Hata jana nimesikia yupo huko Rufiji kwenye uzinduzi wa bwawa la Mwl, Nyerere, anahudhuria uzinduzi wa bwawa ka maji wakati mwenyekiti wake nipo kizimbani kwenye kesi ya uhaini. Mwenzetu yupo na mama.”
Tundu A.M Lissu, Mahakama Kuu, 24.08.2026
Birds of the same feather flock together!LAKINI KAMA MPENDA MEMA WA NCHI YAKE , ANA KOSA GANI KWENYE UWEPO WAKE ? NISHATI NI YA KILA MTU
Wanahofu sana watabinywa siku si nyingiSasa wewe ndio unaonekana una chuki, hadi unamtukana kwa kumwita mpumbavu.
Mkuu nimepitia sehemu fulani kusoma maoni juu ya Mbowe kwenda bwawani, kuna mwamba katoa jibu murua sana hasa kwa watu ambao uelewa wenu ni mdogo sana na mnashindwa uelewa weledi wa Lissu, na nukuu mazima akimjibu kilaza mmoja ''ubongo wako kama upo vizuri, basi jitahidi kuutumia vizuri. Hapo anaonyesha kuwa mahakama za Tanzania si huru, bali zinaingiliwa na ikulu yaani rais akiamua anaingilia mahakama. Kwa kesi ya Mbowe, tayari mahakama, ilikuwa imesema ana kesi ya kujibu. Hivyo rais alipaswa kuiachia mahakama iendelee hadi mwisho wa kesi na mahakama iamue, ila kuonyesha kuwa mahakama zetu ni matawi ya CCM, mahakama ilinyang'anywa mamlaka na rais kisha Mbowe akaenda zake ikulu na hata mahakama haikulazimisha, ili mchakato ule ufike mwisho wa uamuzi wa kisheria.LAKINI KAMA MPENDA MEMA WA NCHI YAKE , ANA KOSA GANI KWENYE UWEPO WAKE ? NISHATI NI YA KILA MTU
Upo okay lakini siyo alright!Unaweza kwa hiyari yako ukafa ili uache nafasi kwa wenye fikra pevu?LAKINI KAMA MPENDA MEMA WA NCHI YAKE , ANA KOSA GANI KWENYE UWEPO WAKE ? NISHATI NI YA KILA MTU
Mie naongelea uwepo wake BWAWANI na si SWALA LA MAHAKAMANI JUU YA KESI YAKE YA UGAIDI. Mbowe ni mdau wa maendeleo, haina maana kama ukiwa mpinzani basi hadi mema yapingike. Kingine ukishajua dunia inavyofanya kazi huwezi lalama, wanasema every man from himself. TOTO TUNDU INABIDI AKOMAE NA AMALIZE KILE ALICHOANZISHA , HATUJUI NI JINSI MBOWE KAUMIZWA NA HAO JAMAA CHADEMA KIVIPI , SISI NI WATAMAZAJI , YA NDANI HATUYAJUI. JE KAMA ANAFANYA MAONGEZI YENYE MANUFAA NJE YA MAHAKAMA PASIPO HATA LISSU KUJUA. JAMAA APUNGUZE HISIA MBONA YUKO NA CHAMA CHAKE BEGA KWA BEGA.Mkuu nimepitia sehemu fulani kusoma maoni juu ya Mbowe kwenda bwawani, kuna mwamba katoa jibu murua sana hasa kwa watu ambao uelewa wenu ni mdogo sana na mnashindwa uelewa weledi wa Lissu, na nukuu mazima akimjibu kilaza mmoja ''ubongo wako kama upo vizuri, basi jitahidi kuutumia vizuri. Hapo anaonyesha kuwa mahakama za Tanzania si huru, bali zinaingiliwa na ikulu yaani rais akiamua anaingilia mahakama. Kwa kesi ya Mbowe, tayari mahakama, ilikuwa imesema ana kesi ya kujibu. Hivyo rais alipaswa kuiachia mahakama iendelee hadi mwisho wa kesi na mahakama iamue, ila kuonyesha kuwa mahakama zetu ni matawi ya CCM, mahakama ilinyang'anywa mamlaka na rais kisha Mbowe akaenda zake ikulu na hata mahakama haikulazimisha, ili mchakato ule ufike mwisho wa uamuzi wa kisheria.
Hiyo kesi alifuta nani? ngoja nikutolee maoni ya mwamba mmoja mwenye anafikiri kwa kuona mbali naleta nukuu yake mazima akimjibu jamaa mmoja mwenye akili kama yako ''ubongo wako kama upo vizuri, basi jitahidi kuutumia vizuri. Hapo anaonyesha kuwa mahakama za Tanzania si huru, bali zinaingiliwa na ikulu yaani rais akiamua anaingilia mahakama. Kwa kesi ya Mbowe, tayari mahakama, ilikuwa imesema ana kesi ya kujibu. Hivyo rais alipaswa kuiachia mahakama iendelee hadi mwisho wa kesi na mahakama iamue, ila kuonyesha kuwa mahakama zetu ni matawi ya CCM, mahakama ilinyang'anywa mamlaka na rais kisha Mbowe akaenda zake ikulu na hata mahakama haikulazimisha, ili mchakato ule ufike mwisho wa uamuzi wa kisheriaLissu at his vindictive best. Mbowe hakutokea Mahakamani kwa sababu kesi yake ilikuwa imefutwa. Alitokea rumande kwenda Ikulu kuitikia wito wa Rais. Angekataa wito ule, Lissu na wenzake wange bakia uhamishoni. Na mamia ya wafuasi wa Chadema wangeendelea kukabiliwa na kesi nzito wakiwa rumande.
Mbowe kuhudhuria hafla ya kitaifa hakumaanishi kuwa anamuunga mkono Samia kwa kila analo tenda. Ku insinuate hivyo kunathibitisha chuki aliyo nayo dhidi ya Mbowe. Na ndio maana Mbowe hana mpango nae kwa sababu anajua anapenda majungu na fitna. Yeye hakumuonyesha grace Mbowe wakati ana shambuliwa kwa nini aone ni haki yake kuonyeshwa grace na Mbowe? Mbona yeye alikutana na Rais Samia Brussels wakati Mbowe yuko rumande? Na walipiga picha ya pamoja baada ya mazungumzo yao. Tuseme nae alikuwa upande wa Samia wakati ule?
Ushauri wangu ni aachane na Mbowe, ashindanie kesi yake. Ana watu wa kutosha kumchafua Mbowe. Hawa ndio walioanzisha rumors kuwa Mbowe ni shahidi wa Jamhuri dhidi ya Lissu. Ovyo kabisa.
Amandla...
Within a "QUOTE",can we get a "QUOTATION",boss?View attachment 3656114
“Mwenyekiti wetu, Freeman A. Mbowe akadai katiba mpya, akafunguliwa kesi ya ugaidi, akakaa gereza la Ukonga miezi 8, pale nilipowekwa mimi sasa.
Tukapambana na kesi ya uongo ya ugaidi. Wakamkuta na kesi ya kujibu. Siku ya kutakiwa kujitetea hatukumuona tena Mahakamani, bali akatokea Ikulu.
Hata jana nimesikia yupo huko Rufiji kwenye uzinduzi wa bwawa la Mwl, Nyerere, anahudhuria uzinduzi wa bwawa ka maji wakati mwenyekiti wake nipo kizimbani kwenye kesi ya uhaini. Mwenzetu yupo na mama.”
Tundu A.M Lissu, Mahakama Kuu, 24.08.2026
Huyu jamaa ana taarifa nyingi kuliko hata Sisi tulioko uraianiNapenda sana jamaa anavyokuwwa updated na mambo yanayoendelea uraiani na duniani.
Yaani unaacha msiba nyumbani kwako unakwenda kwenye sherehe ya harusi ya jirani???LAKINI KAMA MPENDA MEMA WA NCHI YAKE , ANA KOSA GANI KWENYE UWEPO WAKE ? NISHATI NI YA KILA MTU
Eh naona una kichwa kigumu kuelewa sababu umeshindwa kujua logic ya Lissu kumsema kuhusu Mbowe hiyo ya bwawa anataka tu kuonyesha jinsi mahakama zinavyoingiliwa kwa kesi ile ile ambayo Mbowe alijikuta yupo ikulu bila taarifa za mahakama ndio hiyo hiyo ambayo Lissu anayo, kama mahakama iliingiliwa wakati wa Mbowe hadi akatolewa je kwa sasa ni kitu gani ambacho mahakama itaifanya isiingiliwe kwenye kutoa maamuzi?Mie naongelea uwepo wake BWAWANI na si SWALA LA MAHAKAMANI JUU YA KESI YAKE YA UGAIDI. Mbowe ni mdau wa maendeleo, haina maana kama ukiwa mpinzani basi hadi mema yapingike. Kingine ukishajua dunia inavyofanya kazi huwezi lalama, wanasema every man from himself. TOTO TUNDU INABIDI AKOMAE NA AMALIZE KILE ALICHOANZISHA , HATUJUI NI JINSI MBOWE KAUMIZWA NA HAO JAMAA CHADEMA KIVIPI , SISI NI WATAMAZAJI , YA NDANI HATUYAJUI. JE KAMA ANAFANYA MAONGEZI YENYE MANUFAA NJE YA MAHAKAMA PASIPO HATA LISSU KUJUA. JAMAA APUNGUZE HISIA MBONA YUKO NA CHAMA CHAKE BEGA KWA BEGA.
Pascal Mayalla umeiona hii statement ya Lisu leo.View attachment 3656114
“Mwenyekiti wetu, Freeman A. Mbowe akadai katiba mpya, akafunguliwa kesi ya ugaidi, akakaa gereza la Ukonga miezi 8, pale nilipowekwa mimi sasa.
Tukapambana na kesi ya uongo ya ugaidi. Wakamkuta na kesi ya kujibu. Siku ya kutakiwa kujitetea hatukumuona tena Mahakamani, bali akatokea Ikulu.
Hata jana nimesikia yupo huko Rufiji kwenye uzinduzi wa bwawa la Mwl, Nyerere, anahudhuria uzinduzi wa bwawa ka maji wakati mwenyekiti wake nipo kizimbani kwenye kesi ya uhaini. Mwenzetu yupo na mama.”
Tundu A.M Lissu, Mahakama Kuu, 24.08.2026
Amefanya wrong calculative moveWakati wenzake wanampigania kutoka jela kwa ile kesi ya uongo, na wenyewe pia wangeweza kufungamana kuwa kitu kimoja na watawala! Ila wao hawakufanya hivyo! Badala yake walishikamama naye mpaka mwisho.
Alichokifanya Mbowe ni kitendo cha ubinafsi, usaliti, usnitch, na undumilakuwili. Taarifa zinaonesha Mbowe anaishi Mikocheni (kilomita 5 tu kutoka kesi ya Lissu inapofanyikia)! Cha kushangaza hajawahi kuhudhuria kesi kwa zaidi ya mwaka sasa kama wafanyavyo viongozi na makada wengine wa chama! Ila kwenye uzinduzi wa bwawa la umeme (zaidi ya kilomita 700 kutoka Mikocheni) ameweza kuhudhuria!
Lissu yuko sahihi kumchana hadharani.
Huyo mbowe ni bei ya jioniLAKINI KAMA MPENDA MEMA WA NCHI YAKE , ANA KOSA GANI KWENYE UWEPO WAKE ? NISHATI NI YA KILA MTU