Hii Quotation ya leo inapasua anga, ardhi na maji


Unaufahamu msimamo wa CHADEMA kuhusu utawala uliopo madarakani? Usaliti huu alioufanya wa kushiriki katika shughuli ambayo officially kwa CHADEMA si serikali halali na haina uhalali wa kutawala mpaka labda kufanyike reconciliations na concessions, amesaliti msimamo wa CHADEMA na hana tofauti na Covid19(Halima na the crew) walivyofanya back then.
Kaka yake Lissu ni CCM na interest ziko huko hivyo he doesn't qualify to advise Lissu on the political struggles.
 
View attachment 3656494View attachment 3656495
Unaufahamu msimamo wa CHADEMA kuhusu utawala uliopo madarakani?
Nifahamishe
Nionyeshe mahali ambapo Chadema imekataza wanachama wake kushiriki katika shughuli zote za kiserikali.
Kaka yake Lissu ni CCM na interest ziko huko hivyo he doesn't qualify to advise Lissu on the political struggles.
Hapo ndipo mnapokosea. Mnataka kusema kuwa kaka yake Lissu alitaka kumchuuza mdogo wake? Kiburi hiki ndicho kilichowafikisha hapa mlipo.

Amandla...
 
 
Jibu la aya yako ya mwisho lipo oct 29.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…