MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ama kwa kweli ukubwa sio nguvu ila ujuzi na matumizi ya ubongo, kainchi saizi ya mkoa mmoja wa Urusi kameitoza Urusi kamasi imepoteza majenerali, meli, wanajeshi maelfu na hasara nyingine nyingi mpaka Urusi imeomba msaada Syria na kwingine.
Licha ya hasara yote hiyo, Urusi imeambulia tumiji twa huko mpakani....ovyo sana.
Licha ya hasara yote hiyo, Urusi imeambulia tumiji twa huko mpakani....ovyo sana.