Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Putin kamatia hapohapo usiachie
Nalog off Z
Nalog off Z
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumepigwa hasaaa!Kwamba Tanzania ina ukubwa wa kilometa za mraba laki tisa halafu Urusi ina ukubwa wa kilomita za mraba 17?
Hapa tumepigwa
Uhafifu!? Wapi nime_comment kuwa wana silaha hafifu! Jaribu ku_quote post yangu niliyo_comment hivyo.hujajibu swali langu , umejuaje uhafifu wa silaha bora kwa hao alshabab ?
kumbe unajua kbs hampigani na al -shabaab mnapigani na waislamu duniani sasa kivipi ushindwe kujua Urusi hapigani na Ukraine anapigana na NATO (zaidi ya nchi 30) huoni huyo ni mwanaume wa shoka kupigana na nchi 30+?!!!KDF haipigani na Somalia, fahamu hao mazombi wa dini ya mwarabu ni kero la dunia maana hata Somalia yenyewe imejaribu kupigana nao na kuwaua wengi tu ili kuwawahisha wakapewe mabikira, mazombi ya kihivyo hata uwaue milioni, bado wataendelea kuwa kero, maana dhawabu ya mabikira ni tamu sana, sijui kwanini na nyie wafuasi wa mwarabu huwa mnachelewa kujiunga.
kumbe unajua kbs hampigani na al -shabaab mnapigani na waislamu duniani sasa kivipi ushindwe kujua Urusi hapigani na Ukraine anapigana na NATO (zaidi ya nchi 30) huoni huyo ni mwanaume wa shoka kupigana na nchi 30+?!!!
Kama ndo hivyo basi Sasa wanajeshi wa urusi waliokufa 30,000 wanajeshi wa NATO 0.Hapo kimuonekano ni vita ya Russia vs Ukraine ambayo ingekuwa imeishaisha by now.
Kiuhalisia, vita ni kati ya Russia vs NATO.
Huu mtiti hauishi leo wala kesho.
Mbona hujiulizi kwanini Marekani anashindwa kuishambilia Cuba,maana ziko pua na mdomo...Ama kwa kweli ukubwa sio nguvu ila ujuzi na matumizi ya ubongo, kainchi saizi ya mkoa mmoja wa Urusi kameitoza Urusi kamasi imepoteza majenerali, meli, wanajeshi maelfu na hasara zingine nyingi mpaka Urusi imeomba msaada Syria na kwingine.
Licha ya hasara yote hiyo, Urusi imeambulia tumiji twa huko mpakani....hovyoo sana.
![]()
Mbona hujiulizi kwanini Marekani anashindwa kuishambilia Cuba,maana ziko pua na mdomo...
Tupe ulichoona ktk jicho la tatu.Tatizo hamuangalii hii vita kwa jicho la tatu. .
Hata kuwe na vijana wazalendo kiasi gani, hawawezi kujiunga na jeshi la urusi hasa kwa upepo unavyoenda.Ndio picha umepatia, yaani siku zaidi ya 100 JWTZ wawe bado wanapambana na tumiji twa mpakani hapo Rwanda, wameshindwa kufika Kigali na wamepoteza wakuu wengi jeshini na maelfu ya wanajeshi na hasara zingine zote, na hadi waanze kuomba usaidizi kutoka kwa mataifa mengine, na pia kufanya usaili wa wanajeshi wapya kwa maelfu.
Weka huo mtazamo Wako wa jicho la3Tatizo hamuangalii hii vita kwa jicho la tatu. .
Toa bangi majeshi ya Russia yapo Ukrein lakini majeshi,ya Nato hayapo UkreinHapo kimuonekano ni vita ya Russia vs Ukraine ambayo ingekuwa imeishaisha by now.
Kiuhalisia, vita ni kati ya Russia vs NATO.
Huu mtiti hauishi leo wala kesho.
Hapana, Kuna vigezo vya kujiunga NATOHivi urusi, china na korea kaskazini zikiombz kujiunga nato zitakubaliwa. Kama zitakubaliwa nato itaendelea kuwepo. Nakama itakuwepo itakuwa inajihami kwa ajili ya taifa gani?
NATO = North Antlantic Treat OrganizationHivi urusi, china na korea kaskazini zikiombz kujiunga nato zitakubaliwa. Kama zitakubaliwa nato itaendelea kuwepo. Nakama itakuwepo itakuwa inajihami kwa ajili ya taifa gani?
Hapa kitu kizito kimetupiga kichwani.Kwamba Tanzania ina ukubwa wa kilometa za mraba laki tisa halafu Urusi ina ukubwa wa kilomita za mraba 17?
Hapa tumepigwa
Tena hata waislamu wa ndani nao wanageuka kuwa maadaui.Tukipigana na waislamu hamtabaki hata mmoja, mumechokoza sana Wakristo kwa kuchinja na kulazimisha huo uzombi wa dini ya waarabu, sema Wakristo huniboa sana kwa kuonyesha unyonge japo wengi wanafuata maandiko maana mumetabiriwa haya mnayoyafanya kwa Wakristo yametajwa, inabidi mvumiliwe, ila mkichokwa sijui itakua vipi.
Na kuhusu huyu Urusi mnayemuabudu, siku akipigana na NATO atafutwa duniani...
Laki 9 kwa milioni 17.1Kwamba Tanzania ina ukubwa wa kilometa za mraba laki tisa halafu Urusi ina ukubwa wa kilomita za mraba 17?
Hapa tumepigwa